Wizara ya ardhi inadaiwa million 347; Tibaijuka tunalipa lini hizi?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Kweli kumekucha
kama ulisikia kwenye clouds kiongozi mmoja wa nhc alipoulizwa hii ni starter akasema wameamua kuanza kwa wizara mama kwanza
ila akasema baada ya kusafisha anarudi kwa mama kwenyewe(tibaijuka) kusafisha waakikishe wame;lipa madeni yao
wasichekelee kuona wenzao wakiondolewa aisee

bila uoga akasema mama wanadaiwa kama million 347 akuna cha kuficha na hili tunataka kusafisha baadhi ya wizara
tunarudi kwa mama na nakuhakikishia atutaangalia kwa mama wala wapi

hope huyu jaaamaa ajapewa barua ya memo kama sio kusimamishwa kwa paid leave

bigup vijana kama mmezamiria nitawaheshimu zaidi mkigusa nyongo ya mmaama huko ndio mngefanya mfano wawaheshimu sio hivi vimbuzi vidogodogo vya million 47/80

swali langu nauliza mama tibaijuka amwoni vyema mkalipa madeni kuliko mnaanzisha harakati huku sebule imejaa mavi
hope by ijumaa wiki ijayo mtamaliza madeni yenu

kila la kheri wote
 
Mkuu mimi nilidhani wana maana ya wizara ya Vijana na Utamaduni. Nakumbuka jamaa alikuwa katika operation ya kuiondoa idara ya habari kutoka kwenye jengo lao na akasema wakimaliza hapo wanaenda kwa mama/baba yaani (kwa mawazo yangu) Wizara ya Vijana na Utamaduni. Basi huenda niliingia chaka.
 
Mchechu kuna kamchezo ka kumwakyembe cku hz.takea,hawapendi mchapakazi
 
Hakuna wizara ilyo juu ya sheria, kama wanadaiwa ni lazima walipe. vinginevyo mama tiba na mchechu walitakiwa waondoe kwanza kibanzi kwenye macho yao kabla ya kuona maboriti kwenye macho ya wengine.......sheria msumeno
 
Msimpe kichwa Mchechu, Mchechu kapewa vidonge vyake alipoitwa Ikulu baada ya kutaka watu wajaze fomu yake yakibaguzi na haya ndio matokeo ya miongozo aliyopewa na JMK.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom