Wizara ya Ardhi ina matatizo makubwa ya utendaji wa Maafisa wa ardhi wa Wilaya na Mikoa. Waziri yuko wapi?

Itabidi tuombe washauri wamshauri vema kwa hili la Mh Lukuvi!

Hata kama Lukuvi angebaki hapo, utendaji wake ungebadilika kulingana na bosi alivyo.

Ironically speaking, hata huyo aliyeko sasa anaweza kuwa kama Lukuvi kama bosi akitaka awe hivyo.
 
Sasa hii ni habari mpya. Naibu atam suppress bosi kweli? Hata kama ni nguvu ya baba yake, lkn vingine ni vigumu, làbda kwa vile hapa ni kwa manyani!
Angelina amewekewa punje ya mtama akidonoa tu kamba inafyatuka dogo anapanda
 
Angelina amewekewa punje ya mtama akidonoa tu kamba inafyatuka dogo anapanda
Mh! patamu na hatari tupu hapo! It now clicks in my head! There is a lot of sense in this thinking!
 
Hata kama Lukuvi angebaki hapo, utendaji wake ungebadilika kulingana na bosi alivyo. Ironically speaking, hata huyo aliyeko sasa anaweza kuwa kama Lukuvi kama bosi akitaka awe hivyo.
Kuna inborn, instinctive characters my dear!
 
Kuna inborn, instinctive characters my dear!

Hizo unazoita 'instinctive characters' za huyo huyo Lukuvi, zilianza kubadilika toka apate bosi mpya (kabla ya kutumbuliwa). Mwenendo wake kiutendaji haukua wa kasi na viwango kama zamani. Kwa ujumla, utendaji wa viongozi wetu unaathiriwa na falsafa ya kiuongozi na mwenendo wa bosi wao. Do not forget that, my friend.
 
Agreed!
 
Back
Top Bottom