Luhaga Mpina kudaiwa kudhulumu ardhi ya Kijiji ekari 1000 Morogoro, Wizara ya Ardhi iingilie kati

Mpumbavu kwako…amehoji maswala ya msingi kwa taifa na sisi watanzania tunahitaji majibu…

Na sisi tunakupuuza maana huna msaada kwa taifa hili na wananchi, umekalia majungu tu….jibu hoja sio kufukua mafile yasiohusika kwenye hoja husika….
Nimekuambia Mpina ni mpumbavu
 
Kumsema makamba ni sawa, haina shida. Lakini kama na yeye alipata ardhi hiyo kitapeli lazima asemwe.

Ni jambo jema wakiumbuana wao kwa wao.
Tena alifoji miutasari ya Kijiji kwa kuongopa kuwa kuna mkutano wa Kijiji ulikaa na kumpa ardhi wakati haukukaa kumpa ardhi hiyo. Hili jambo lazima lichunguzwe maana amewatia ufukara wanakijiji kiasi wanapigana kugombania ardhi kidogo kwa dhuluma za mpina.
 
Mlikuwa wapi enyi team kigogo?

Ebu kwanza mjibu hoja za msingi za mpina zenye maslahi ya kitaifa badala ya Personal attacks.

Tunajua kazi ya Ridhiwani pale ardhi baada ya kumuondoa kwa hila zenu mzee LUKUVI.
Hoja ya Mpina ipi? Kupima samaki kea rula au kuchoma nyavu za wavuvi au kupora ardhi ya wanakijiji?
 
Tutegemee makamera kupelekwa huko Morogoro kwenda kuwahoji hao wanavijiji.
 
Serikali ndio mtetezi wa wanyonge dhidi ya matapeli papa wanaodhulumu wanakijiji ardhi yao, hawa ndio wanazua migogoro mikubwa sana kati ya wananchi, na kati ya serikali na wananchi. Nashauri wizara ya ardhi iunde timu ikachunguze na Kisha ichukue hatua ya kurudisha ardhi hiyo kwa wanakijiji.

Huyu mtu kachukua ardhi yote, wanakijiji hawana akiba ya ardhi kwa matumizi ya baadae. Pia takukuru wachunguze, Kuna viashiria vya rushwa

View attachment 2180552View attachment 2180553View attachment 2180556
Mpina kachokoza mzinga wa nyuki.
ukijua huu ,wengine wanajua huu!
 
Mpina kama Putin , anahenyesha watu.

Mtapoteana tu.
Mpina kandamizia hapohapo.

Hawalali wanawaza kukunyamazisha.

Hata kama walivyofanya kwa JPM na KWANDIKWA.
Situka......
 
Mpina kama Putin , anahenyesha watu.

Mtapoteana tu.
Mpina kandamizia hapohapo.

Hawalali wanawaza kukunyamazisha.

Hata kama walivyofanya kwa JPM na KWANDIKWA.
Situka......
Mpina ni msukule, usimfananishe Putin na vitu vya kijinga
 
Serikali ndio mtetezi wa wanyonge dhidi ya matapeli papa wanaodhulumu wanakijiji ardhi yao, hawa ndio wanazua migogoro mikubwa sana kati ya wananchi, na kati ya serikali na wananchi. Nashauri wizara ya ardhi iunde timu ikachunguze na Kisha ichukue hatua ya kurudisha ardhi hiyo kwa wanakijiji.

Huyu mtu kachukua ardhi yote, wanakijiji hawana akiba ya ardhi kwa matumizi ya baadae. Pia takukuru wachunguze, Kuna viashiria vya rushwa

View attachment 2180552View attachment 2180553View attachment 2180556
Naona wana CCM wenzangu tumeanza kushambuliana kisa tu tunaowapenda wameshambuliwa.

Nahimiza wanachama wa CCM kusimama imara kutetea haki ktk taifa letu la Tanzania.

Tukemee rushwa na dhuluma kwa yeyote yule ndani ya chama na nje chama.

Taifa mbele, haki mbele, vyama baadaye
 
Unatapatapa sana kumtetea muhuni wa waizara ya Nishati. Huyo jamaa hafai kabisa kuongoza hata serikali ya mtaa.
 
Nchi ngumu hii yaani viongozi walio wengi kama sio woooote ni WEZI, wakuu wa Taasisi nyeti wameingizwa kwenye WIZI na kufumbwa midomo.
Yaani ukisema ya mwenzako naye anasema yako.

Si vyama vya siasa kwa aina zake, si vyombo vya usalama. Kinachobaki kusema kinafiki tu
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom