Augustine Moshi
JF-Expert Member
- Apr 22, 2006
- 2,556
- 1,383
Wizara ya Ardhi bado kabisa kubadilika. Nilishinda makao makuu ya wizara jana nikilipia kodi ya kiwanja. It was a daunting task.
Their operations are primitive to the extreme. Nilikaa kwanza kwenye foleni ya kupewa assessment. This ought to be done online, as is done by the TRA when one renews a road license.
Foleni iliyofuatia ni ya kulipa fedha benki. This second step is also doable online, through MPESA or so, as is again done when one pays TRA for a road license.
Kulikuwa na foleni ya tatu. Hii ni kwa ajili ya kuandikiwa risiti ya malipo, kwa mkono. When will this ministry have the courage to automate anything?
There was quite a large crowd of us, in a small and very hot room. I almost melted.
Waziri wa Ardhi anazunguka huku na kule akisema hiki na kile lakini utendaji wizarani kwake ni duni sana. Labda aanzie kunyoosha pale.
We cannot do what we have always done and expect a different result. Each ministry should look at how it does things and ensure that there is constant improvement.
Kwa nini TRA wasikusanye kodi za viwanja? Angalau wao wanafahamu namna ya kukusanya kodi bila kupoteza mamia ya man-hours za walipa kodi. Kama fedha zinatakiwa zifike Ardhi basi TRA watazifikisha huko baada ya kuzikusanya.
Viongozi wa TRA wa miaka ya karibu wanastahili sana pongezi. Wameonyesha ubunifu wa hali ya juu.