Wizara ya afya

Arteta_21

Member
Feb 25, 2013
12
2
Habari zenu wana jf napenda kuuliza kuhusu form four walioomba vyuo vya afya kutumia matokeo ya mwanzo kabla ya uchakachuajia wanawezekana wakachaguliwa au ndo tusahau tu? Ushauri plz
 
Hii tanzania kaka,unafikili MOH wanajali we subiri tu utasikia mwenyewe watakavyoropoka ovyo.
 
Back
Top Bottom