Wizara ya Afya yatoa taarifa hii kuhusu ugonjwa wa dengue

esther mashiker

JF-Expert Member
May 29, 2018
616
552
1107787




Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto inapenda kutoa taarifa kwa Umma kuwa ugonjwa wa homa ya dengue bado upo nchini hususani katika Mikoa ya Dar es salaam na Tanga

1107789
 
Wizara ya Afya watuambie kwanini ugonjwa huu wameugeuza dili kiasi cha kipimo kugharimu kuanzia shs 30,000= mpaka 50,000= kwenye hospitali za serikali!
 
Wizara ya Afya watuambie kwanini ugonjwa huu wameugeuza dili kiasi cha kipimo kugharimu kuanzia shs 30,000= mpaka 50,000= kwenye hospitali za serikali!
serikali ya magufuri inaangalia mapato juu ya mambo mengine yote. wanyonge endeleeni kuning'iniza vitambulisho vyenu vya umachinga ili tupate hela za kununulia midege ya kutubeba tunapokwenda koromije via chato international airport.
uzalendo oyeeeee!
 
Hivi hii tabia ya kutoa taarifa za uongo juu ya magonjwa wataacha lini....hii ni tabia ya kijinga sana..sasa unamdanganya nani? Watu wamekufa zaidi ya hao na wagonjwa ni wengi haswa...huwezi kupambana na dengue kwa kusema uongo...
Haya ni jitihada gani walizofanya ...siasa uchwara kabisa
 
Back
Top Bottom