Wizara ya afya yatoa majina ya watu watakaopata udhamini wa wizara.

Advicer

JF-Expert Member
Nov 21, 2010
533
272
Wizara ya afya imetoa majina 110 ya w2 watakaopata udhamini wa wizara.(postgradulate)angalia hapa
www.moh.go.tz
 
jamani wanajamii wenzangu wizara wanasema rasmi matokeo yanatoka wik ya 2 ya mwezi wa 10 so mchofu
 
jamani wanajamii wenzangu wizara wanasema rasmi matokeo yanatoka wik ya 2 ya mwezi wa 10 so mchofu

Duh!kaka kwa hali hyo mbna unakosa private na government asee!mh!dat z too much,zna uhakika hzo mkuu?maana me nlisikia hzi proces inabidi zifanyike within ths month ili kutoa nafasi kwa vitambulisho vya utaifa kuendelea,pia wao kwenye tangazo mbna walisema vyuo vitafunguliwa kuanzia october 1?
 
Back
Top Bottom