Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wengine ni wachawi balaaNchi ya mahoka, na huyo wanamtumbua haki ya Mungu tena
Masikini ametumbuliwa tayari saa tano usiku. Uonevu maana kasema habari kutoka maabaraMwele yupo sahihi. Wengine kila kitu ni sihasaaa tu
Hapana, sio uchawi, ni kuwa with common sense tunaangalia trend ya serikali hii. Hawezi kupona maana hata Mama Malecela alitumbuliwa kwa kosa si lake maana analetewa taarifa.Na kweli Mwele kafukuzwa kazi.Watu wengine ni wachawi balaa
vichwa Kama pilitoniUzuri Zika sio Kama ukimwi kuwa utasubiri miaka kuthibitisha! Tusubiri mwakani mwezi Kama huu, Kama hatujaanza kuona watoto wakizaliwa na vichwa Kama Chapati!
Serious..?? Hivi hii nchi tunaenda wapi...ni sifa kutumbua hovyo..huyo mkuu amefanya utafiti au yeye ana ujuzi wa afya..Masikini ametumbuliwa tayari saa tano usiku. Uonevu maana kasema habari kutoka maabara
Serious..?? Hivi hii nchi tunaenda wapi...ni sifa kutumbua hovyo..huyo mkuu amefanya utafiti au yeye ana ujuzi wa afya..
Ngoja sasa watu wapate madhara sijui watakula matapishi yao...
Nnavyoeleewa mtaalam wa afya hatoi majibu mpk amejithibitishia kuwa ni kweli..sasa sidhn km mwele na nimr ni wajinga daah soo sad this country ..
Mkuu we ndio una sign zile taarifa nini, maana tayari keshatumbuliwaNchi ya mahoka, na huyo wanamtumbua haki ya Mungu tena