Wizara ya Afya: Tangazo la kuitwa kazini (awamu ya 2) kwa walioomba kazi kuanzia tarehe 25/07 - 30/08/2017

Kunguru Mjanja

JF-Expert Member
Aug 22, 2012
2,036
3,929
TANGAZO LA KUITWA KAZINI​

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR – TAMISEMI) kwa inapenda kuwataarifu Madaktari walioomba kazi kuanzia tarehe 25/07/2017 hadi tarehe 30/08/2017 kuwa mchakato wa kuwapangia vituo vya kazi umekamilika ikiwa ujazaji wa nafasi mbadala za Madaktari ambao hawakuripoti katika vituo vyao vya kazi.

Screenshot_2017-12-08-10-24-41-1.png


Kwa orodha ya majina waliolitwa kazini, Bofya=> HAPA
 

Attachments

  • Orodha-ya-ajira-mpya-za-watumishi-wa-kada-ya-Afya-awamu-ya-pili.pdf
    1.7 MB · Views: 361
Back
Top Bottom