Wizara ya Afya: La Kuvunda, hebu ona hawa nao! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wizara ya Afya: La Kuvunda, hebu ona hawa nao!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ndebile, Mar 6, 2012.

 1. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,631
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  Wakati tupo kwenye 'count down' kabla mgomo mbaya wa madaktari haujaanza na sababu kubwa ikiwa ni utendaji mbovu wa watendaji wa wizara hii,hapa halmashauri ya jiji la Mwanza watendaji wote wa Idara ya Afya wapo Shinyanga mjini kwenye kikao cha bajeti.

  Hivi kwa akili ya kawaida kuacha vituo vya afya na zahanati za jiji bila dawa wala vifaa tiba na kukimbilia kuandaa bajeti kwa mwezi mzima huku mkijilipa allowance nono. Hivi jiji zima la Mwanza akuna sehemu nzuri ya kupanga bajeti? Au malipo ya pocho yatakuwa madogo kwasababu mtakuwa karibu na vituo vya kazi?

  Mh. Mizengo Pinda uovu na ubadhilifu wa wizara hii unaanzia ngazi ya chini. Mganga mkuu wa jiji la Mwanza ni sehemu ya upuuzi huu unaolalamikiwa na madaktari. Vituoni hata panadol hakuna lakini watu wapo kwenye vikao vya bajeti mwezi mzima!
   
 2. MTENGETI

  MTENGETI JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,330
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  ndio yale yale niliosema jana . hivi kikwete kulala hotelini jana badala ya rest house. fedha hizo zingenunua makopo mangapi ya paracemol!
   
Loading...