Wizara ya Afya kwanini mruhusu dawa za meno zenye Flouride ziuzwe na zitumike Tanzania?

Na kuna ripoti ya WHO inaonesha kabisa nchi zisizotumia Flouride hazijapata madhara makubwa kwenye Meno kama nchi ambazo zinatumia hiyo content kwenye Dawa zao za meno
 
Mjadala ulianza miaka ya 1950 na hadi kufikia 1993 na 1999 tayari mataifa yanayojali raia wake walikua walishaamua na maamuzi yao yamesaidia kwa kiwango kikubwa kuboresha hata IQ za watu wao
 
ANGALIA HAPO...
Dabur-Herbal-ToothPaste-150gm-Free-Brush-Inside.jpg_300x300.jpeg
dabur_herbal_basil_toothpaste.jpeg
51EH8CoYSSL._SY355_.jpeg
 
Hiyo floride iko hadi kwenye maji ukienda uko meru maji yao ni floride tupu.Kwaiyo unaweza kuikwepa kwenye dawa za meno ila ukakutana nayo kwenye maji.Mimi nadhani florine ni muhimu ila kwakiwango kidogo.
 
Fluoride is a mineral that occurs naturally in water sources. Sometimes, additional fluoride may be added to a community's water because it has been shown to help prevent cavities. Fluoride makes teeth stronger and more resistant to cavity-forming acids, working to prevent decay long before you would even notice it AND If you have a child under the age of two, the child should definitely be using a fluoride-free toothpaste. According to the American Dental Association, a child can swallow too much fluoride, especially at the ages of two and under, when it's tough to teach them to spit out toothpaste. When too much fluoride is taken in, it can lead to dental fluorosis.This particular condition causes discoloration or pitting on the teeth. It may appear as brown spots, scattered white specks or white spots.Kwahiyo inaonekana si bora kwa watoto na sio kwa watu wazima...

stephot sio kwa watoto tu hata watu wazima unaambiwa ni hatari na huku kwetu ndio kwanza mtoto anaruhisiwa asafishe meno atakavyo tena na flouridated toothpaste
 
Hiyo floride iko hadi kwenye maji ukienda uko meru maji yao ni floride tupu.Kwaiyo unaweza kuikwepa kwenye dawa za meno ila ukakutana nayo kwenye maji.Mimi nadhani florine ni muhimu ila kwakiwango kidogo.

Kule ndio hawatakiwi kutumia kabisa maana tayari iko kwenye maji
 
Labda kwa kukusaidia tu unachokiona pale kwenye dawa ni Fluorine, ikiwa kwenye form ya sodium fluoride na si Fluoride halisi ambayo ndio huwa ni hatari...

Na kwa kukusaidia tu, ni kwamba baada ya kuondolewa ile negative charge kwa njia ya dissociation ndio tunapata fluorine ambayo iko salama zaidi, na labda tu ushawahi kusikia process inaitwa water fluoridation kwenye maji ni katika kuongeza kiwango cha sodium floride (fluorine) ili kuweza kupunguza kiwango cha fluoride katika maji ili kuweza kuepuka meno kuoza kama ndugu zangu wa singida na manyara maji yao huwa yanakiwango kikubwa cha fluoride hivyo kupelekea kuwa na mezo yenye rangirangi (dental fluorisis).

Na kiwango cha fluoride kinachoruhusiwa katika maiji ni 1ppm na kisizidi hapo. Nimekutana na uzi mwingine mleta uzi akilalamika kuhusu kiwango cha risasi (lead) katika suppliment aliyonunua kwa ajili ya kutengenezea chakula cha kuku ila ukiangalia ni tolerable level kabisa hasa kwa hao kuku maana hata wanyama wametofoutiana katika kuhimili kiwango cha lead katika vyakula vyao.

Na niwajuze tu hasa hizo mbogamboga mnazonunua na kula, hasa kwa maeneo mengi hapa jijini dar es salaam mboga nyingi zinalimwa pembezoni mwa barabara na hivyo nyingi huwa zinakuwa na kiwango kikubwa cha lead na hii ni kutokana na moshi unaotolewa na magarai kuwa na kiwango cha lead ndani yake, na katika research yangu moja ndio nikagundua watu wanalishwa kiwango kikubwa cha lead kupitia mbogamboga, hivyo hitimisho ningewaasa ndugu zangu epukeni kununua mboga mboga zinazolimwa pembezo ni mwa barabara au kama uko na uhitaji sana ni vyema ukaanzisha bustani yako hapo nyumbani ili kuepukana na hii kasumba hii.
Asante mtaalamu kwa ufafanuzi murua
 
Cardiovascular unafahamu kwamba mataifa niliyokutajia hapo yalishaburn hiyo flouride miaka mingi sana?
As of 2012, 25 countries have artificial water fluoridation to varying degrees, 11 of them have more than 50% of their population drinking fluoridated water. A further 28 countries have water that is naturally fluoridated, though in many of them the fluoride is above the optimal level.[18] As of 2012, about 435 million people worldwide received water fluoridated at the recommended level (i.e., about 5.4% of the global population).[18] About 214 million of them living in the United States.[19] Major health organizations such as the World Health Organization and FDI World Dental Federation supported water fluoridation as safe and effective.[20] The Centers for Disease Control and Prevention lists water fluoridation as one of the ten great public health achievements of the 20th century in the U.S.[21] Despite this, the practice is controversial as a public health measure. Some countries and communities have discontinued fluoridation, while others have expanded it.[10][22] Opponents of the practice argue that neither the benefits nor the risks have been studied adequately, and debate the conflict between what might be considered mass medication and individual liberties.

Marekani Pia bado wanatumia hiyo Fluorine na shirika la afya duniani na FDI world Dental federation wamekiri ni salama kutumia Fluorine katika maji mkuu...

Wewe huo utafiti wako umeupata wapi Mkuu??
 
Ule Arumeru watu walikuwa na miguu iliyopinda sababu maji yao mengi hayakuwa na hiyo floride... na hata meno yao yakawa na rangi ya hahawia
 
Cardiovascular umesoma pia tafiti za mataifa waliyoireject hiyo content kwa matumizi yao? Haujaona kama wana sababu za msingi?
Mkuu kama World Health Organization na FDI world Dental federation wamekiri Fluorine salama kutumia, kwa hiyo unataka kuniaminisha kuna wataalamu huko zaidi yao.

Kwangu Mimi Fluorine haina madhara kwangu.
 
Ule Arumeru watu walikuwa na miguu iliyopinda sababu maji yao mengi hayakuwa na hiyo floride... na hata meno yao yakawa na rangi ya hahawia
Mkuu umeandika nini hapo??? labda kwa kukusaidia tu meno ya rangi rangi huletwa na kuzidi kwa kiwango cha Fluoride katika Maji na si kuwa maji hayana Fluoride.

Rudi kapitie makala/vitabu vyako unavyosoma, huwenda hukuelewa Dental fluorosis huletwa na nini. Na nilichogundua hufahamu chochote kuhusu dental fluorosis mkuu.
 
Back
Top Bottom