Wizara ya Afya kwanini mruhusu dawa za meno zenye Flouride ziuzwe na zitumike Tanzania?

Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
5,256
2,000
Ule Arumeru watu walikuwa na miguu iliyopinda sababu maji yao mengi hayakuwa na hiyo floride... na hata meno yao yakawa na rangi ya hahawia

Wewe kapitie upya maana nimeeleza ikiwezekana maji kama yanakiwango kikubwa cha flouride basi ipunguzwe maana haitakiwi kwa kiwango kikubwa sasa sijui umetoa wapi ripoti yako wewe mkuu
 

Miss Madeko

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
4,136
2,000
Mkuu umeandika nini hapo??? labda kwa kukusaidia tu meno ya rangi rangi huletwa na kuzidi kwa kiwango cha Fluoride katika Maji na si kuwa maji hayana Fluoride.

Rudi kapitie makala/vitabu vyako unavyosoma, huwenda hukuelewa Dental fluorosis huletwa na nini. Na nilichogundua hufahamu chochote kuhusu dental fluorosis mkuu.


Yes sifahamu chochote na wala mimi sio dentist. Cha muhimu ni kuniambia kwamba yale yalizidiwa na floride na ndio miguu yao na meno ikapinda... na zamani kwa sisi wa Arusha tulikuwa tukitumia zaidi dawa ya CLOSE UP siku hizi hazipo haikuwa na floride nadhani
 

Omulasil

JF-Expert Member
May 5, 2015
4,542
2,000
Sitaki kutaja na sijaongelea kirefu zaidi lakini amini flouride sio nzuri kabisa kiafya
Si nzuri kwa kiwango gani? Au iwe 0% kabisa. Mbona inaimarisha meno , labda ongelea kiwango kinachohitajika
 

Omulasil

JF-Expert Member
May 5, 2015
4,542
2,000
Mjadala ulianza miaka ya 1950 na hadi kufikia 1993 na 1999 tayari mataifa yanayojali raia wake walikua walishaamua na maamuzi yao yamesaidia kwa kiwango kikubwa kuboresha hata IQ za watu wao
Hyposis tu
 

Old - Hand

JF-Expert Member
Apr 9, 2017
1,725
2,000
Mnatuchanganya sie anti-Book.

Mara hiki mara kile.. Basi tutajieni dawa sahihi za meno ambazo hazina athar zozote tuzitumie maisha yaendelee..
 

ki2c

JF-Expert Member
Jan 17, 2016
3,057
2,000
Wale wa UDOM wanaokunywaga maji yenye chumvi nyiingii wakiishiwa boom,hivi ile chumvi,haipunguzi IQ level kweli na hivyo kupelekea kupata ma-supp kama yote?
 

Mwaikibaki

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
2,099
2,000
Enyi watu wa network marketing na pyramid scheme msitufanye kila mtu hajui, muwe mnakuja na empirical evidence, sawa tunajua most of industrial goods hazikosi side effect kwa prolonged use ila SIO KILA KITU NI SUMU.

BTW kama una nia nzuri mbona unapoulizwa maswali ya msingi ili umwage darsa unajibu "kwa sababu ambazo sitaandika hapa" sasa si ungeacha tu kuandika.

Sawa Aloevera na zingine zipo kama mbadala ila sio kila kilichokatazwa west ni sumu kwetu.
 

zedlyn

JF-Expert Member
Mar 14, 2012
1,091
2,000
Kuna jamaa hapo juu cardiovascular anaelezea kwa fact kabisa na amefanya research kuwa sio fluoride ile yenyewe bali ni sodium fluoride yenye fluorine ila yeye anakazia mataifa yaliyopiga marufuku fluoride
 

Shepherd

JF-Expert Member
Dec 14, 2012
2,216
2,000
Kwa hiyo unatuletea biadhaa ipi sasa kutoka ama,forever living,GNL au au ipi,maana umeshaminishwa vya kutosha kwenye networking marketing sasa imebaki kuuza bidhaa zao.
 

vous143

JF-Expert Member
Jul 23, 2018
431
500
Mkuu
Vip fluoride kwny maji yetu ya kunywa haya
N salama kwel nayo
Wakuu
Hua kuna vitu vidogo vidogo sana ambavyo mamlaka za serikali zikishirikuana wanaweza kuokoa maisha ya Watanzania.
TFDA na TBS wameshindwa kufahamu kua dawa za meno zenye content ya Flouride sio nzuri kiafya na ni sumu kali.
Je kwa nini msijifunze kwa mataifa ambayo dawa zao za meno ni marufuku kua na Flouride na Dawa ikiwa na Flouride ni For Export Only.
Wataalamu wetu sijui mnakwama wapi kwenye kulisaidia Taifa na Kuokoa nguvu kazi ya Taifa
 

Nyumisi

JF-Expert Member
Nov 10, 2010
7,171
2,000
Acha kudanganya watu, nimepita karibuni baadhi ya nchi za ulaya fluoride toothpaste zimejaa kwenye mashelfu supermarket, hata ambazo hazina fluoride zipo, ni uchaguzi wa mnunuzi tu, msianze kutisha watu muwaingize kingi kuwauzia hizo bidhaa zenu kwa bei kubwa
 

sikwedawaz

Member
Aug 11, 2018
75
125
MUHIMU NI KUZINGATIA KIWANGO CHA Fluoride KWENYE DAWA ZA MENO KWANI HIZO "Fluoride free"ni Hasara kwa afya ya meno yako😂

Why You Shouldn’t Buy Fluoride-Free Toothpaste

Written by Elizabeth Pratt on August 16, 2018
Natural “fluoride-free” products may not strengthen your teeth.
When it comes to oral hygiene, regular brushing and flossing is only part of the process.
A toothpaste that contains fluoride is the only proven way to prevent cavities.
But dental experts warn that some consumers are swapping fluoride toothpaste for fluoride-free ones.
These consumers may be turning to alternatives available online or in shops marketing “natural” products.
“I’m concerned that individuals choosing these products are missing out on the proven benefits of fluoride for cavity prevention,” Edmond Hewlett, DDS, a professor of restorative dentistry at the University of California Los Angeles School of Dentistry, told Healthline.
“As a healthcare provider, my patients’ health and wellness is of primary importance, and I want them to benefit from the best that dental science has to offer. Fluoride is a shining example.”
Fluoride is a naturally occurring mineral that can be found in most water sources like lakes, rivers, and the ocean.
For the past 70 years, fluoride has been added to most public water supplies in the United States. When added to toothpaste and dental products, this mineral helps prevent cavities by strengthening the enamel, or hard surface, of the tooth.
Studies have shown that having fluoride in public water systems has prevented tooth decay in children and adults by at least 25 percent.
Despite strong evidence supporting the benefits of fluoride for oral health, some consumers are choosing options that are marketed as being effective despite not containing fluoride.
A search on popular online shopping site Amazon revealed various fluoride-free toothpastes with advertising descriptions like “don’t choose between natural and effective.”
Comments from consumers listed under some of the products reveal some customers appear fearful of fluoride.
“Most of the bacteria eliminating toothpastes contain harmful ingredients like fluoride and triclosan and calcium chloride. We ingest a lot of poison every year just by brushing our teeth,” one customer wrote.
But Hewlett says not only is fluoride in toothpaste safe, it’s also a natural ingredient.
“Fluoride is a naturally occurring element, it’s nature’s cavity fighter. Specific fluoride compounds proven to prevent cavities and approved by the U.S. Food and Drug Administration (FDA) for cavity prevention are added to toothpaste in an FDA-approved amount,” Hewlett told Healthline.
Experts say that some consumers have a misconception about the safety of fluoride, and this may be a factor in people choosing fluoride-free products.
While fluoride-free toothpastes are marketed as being a safer and more effective way to keep your teeth healthy, Hewlett says no other ingredient comes close to the benefits of fluoride.
“Seventy years of research proves that it prevents cavities,” he said. “There is no other toothpaste ingredient with this kind of track record. For this reason, dentists have been recommending fluoride toothpaste to their patients for decades.”
When it comes to picking the right toothpaste, dentists have a simple recommendation.
“I tell all my patients to look for a toothpaste that has earned the ADA Seal of Acceptance. If a product has the ADA seal, it means that it has been tested and proven to be safe and effective,” Matthew Messina, DDS, a dentist in Ohio and spokesman for the American Dental Association (ADA), told Healthline.
In the United States, toothpastes that have been proven to be safe and effective at preventing cavities and maintaining optimal oral health all have an ADA Seal of Acceptance.
According to the ADA, only toothpastes containing fluoride will have such a label, and only after providing scientific evidence demonstrating safety and efficacy of the product.
As well as containing fluoride, ADA-accepted toothpastes must also not contain flavorings that would cause tooth decay such as sugar, And they may contain active ingredients that assist in teeth whitening, lessen tooth sensitivity, prevent enamel erosion, and reduce gingivitis and buildup of tartar.
Messina said that even if you brush your teeth well twice a day, using a toothpaste that is fluoride free isn’t a good idea, even if it is marketed as natural or safe.
“Just because something is ‘natural’ doesn’t mean it can help prevent cavities. Brushing with a toothpaste that doesn’t contain fluoride won’t help you prevent cavities,” he said.
Cavities (tooth decay) occur when the hard outer layer of teeth is broken down.
The teeth are constantly covered in a sticky film of bacteria called plaque. When a person consumes foods or drinks containing sugar, the bacteria in plaque creates acid that then attacks the hard outer layer of the tooth, destroying it over time. Little holes called cavities then form in the tooth.
Fluoride strengthens the enamel of the tooth by helping to rebuild enamel that has been attacked by acid, reversing signs of early tooth decay.
But Hewlett says the evidence in support of the efficacy and safety of fluoride is clear.
“The best available scientific evidence shows no association between the recommended amount of fluoride used to prevent tooth decay and any harmful effects,” he said.
“Fluoride at the optimal levels in toothpaste and community water sources is safe and effective. Like any parent, I want my child to be healthy, so I made sure that he was getting the benefits of fluoride from the arrival of his first baby teeth and ever since.”
 

Shupavu

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
356
1,000
cyrustheruler wewe umeona hiyo free ushalipuka elezea ulichojifunza watu waelewe
Mkuu unataka watu waeleze walichojifunza ili watu waelewe lakini wewe hutaki kueleza ulichojifunza ili watu waelewe.

Kua 'fair' mkuu elezea kwa kina unachokizungumzia na madhara unayoyafahamu sio kututaka watu tuamini bila maelezo ya kina.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom