Wizara ya afya kwa mliyonifanyia mmeniboa sana

double click

JF-Expert Member
Oct 12, 2012
569
945
jaman ndo nch yetu. Kuna kijana Wng ali-apply Medical assitant lakn mpaka leo wizara ya Afya haijatoa majina kwa waliochaguliwa ktk hiyo course
Nashndwa kuelewe iweje watoe majina ya course nyngne lakn hii ya assitant medical officer wasitoe?
Na km mwaka huu walikuwa hawachukui wt walioomba hyo course kwann wasingetupatia taarifa?
Km kuna m2 ana taarifa kuhusiana na Hili asisite kunipatia au ushaur wwt kuliko kijana wng aendelee kukaa mtaan
Ndyo hayo Wakuu. Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom