Wizara ya afya itoe waraka maalumu wa namna gani tiba asili inaweza kutumika katika vituo vya huduma za afya

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Ni muhimu kwa wizara ya afya kutoa muongozo rasmi wa namna gani wataalamu wetu wa afya na vituo vya huduma za afya nchini vinaweza kutumia tiba asili katika kuwahudumia wagonjwa.

muongozo huu utaondoa sitofahamu mbalimbali za utaratibu wa tiba nchini.Wizara ije na sera na miongozo rasmi kuhusu hili ili kuwajengea uwezo wataalamu wa afya nchini ambao hawajasomea tiba asili kuweza kutumia njia za asili kutibu.
 
Back
Top Bottom