Jogoo wa Shamba II
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 3,372
- 6,509
Kwani vifaa vyao havifanyiwi sterilization????
Yeah. Umekwisha ila bado haujatoweka. Kutoweka ni mpaka wale wote wenye maambukizi waage Dunia.Sasa Ukimwi ndiyo umekwisha kwa maelezo hayo......
Na ile CTC pale MNH na M'Nyamala zinafanya kazi gani?
Mi sina ukimwi sema wasiwasi wangu ni kwa wateja waliotokaHapa sasa unafikiri inakuwaje? si ni hatari kwa mteja anayefuata kama ABC zisipofanyika
mkuu umetishaUkimwi kwa hapa Dar ulishakwisha. Sema tu ma NGO yanaogopa kutangaza hivyo kwa kuwa tutakosa pesa za wafadhili...
Mkuu sayansi inasema hakuna any reported case ya HIV infection from saloon na yule kiumbe akiwa nje ya damu haishiSoma taarifa hapo juu ndugu kuhusu studies zilizofanyika kwa baadhi ya nchi.
Maajabu Tanzania.....umewahi kwenda kupima HIV then ukaambiwa Virusi hivi umevipata ukiwa unafanya ngono,kuchomwa sindano yenye maambukizi,uliongezewa damu au sababu nyingine yoyote ile na huyo mpimaji au ulipima na kupewa majibu tu....Hizo sababu ni wewe ambayo unaweza kuwa unajua na wala si mpimaji.Mkuu sayansi inasema hakuna any reported case ya HIV infection from saloon na yule kiumbe akiwa nje ya damu haishi
Good comment...I saluteUpo sahihi. Kuna haja ya Jamii kulifahamu hili.
Huwa nikienda saluni sichongi wala kumaliza nywele kichwani. Nadhani wanaonyolewa Upara na kuchonga wapo kwenye hatari ya maambukizi zaidi. Jao na mimi si haba, ni rehema za Mungu tu.
Kila mmoja wetu awe balozi wa kuhimiza usalama/ usafi wa vyombo vya kunyolea.
Mungu anatulinda sana.