Wizara ya Africa Mashariki...

w_makundi

Member
Nov 26, 2008
6
0
Wadau naomba mnipe darasa kidogo. Hivi nchi nyingine za EAC nazo zina wizara hiyo? Au ni kitengo cha Foreign affairs ministry za nchi hizo?Kama jibu ni negative kwanini sisi tunaipa kipaumbele sana EAC on the expense of tax payers? Au pengine budget ya wizara hii inatoka kwa member states wa EAC?.
Wenu mwanafunzi wa Siasa.& good gorvenance.
 
Please do your research first
 
Kasome mkataba wa kuanzishwa kwa Jumiya hiyo (Treaty) then uta-delete thread yako soon!
 
Jamani si bola mngemuelimisha kidogo kama kuna ministry hizo Kenya,UG,Rwanda&Burundi kuliko kumshambulia tu.Ameshasema ni mwanafunzi wa Siasa &gorvance.
Nenda google utapata document uisome nafikili utaelewa
 
Jamani watu badala ya kumpa jibu mnaanza kumpaka?
Haya bwana kwa uganda wanayo nayo iko chini ya naibu waziri mkuu na mambo ya africa mashariki wawezaipata hapa

Kenya wanayo pia ni wizara ya africa mashariki nayo iko hapa
Rwanda wana wizara chache sana ila wameandika lugha yao sijaelewa maana yake, kama unafahamu kinyarwanda basi nenda hapa labda utapata chochote.
Burundi wanayo ni Ministry of Regional Integration and East African Community Affairs nenda hapa

so far rwanda ndo haiko clear!
 
Watu kama nyie ndo mnatakiwa hapa, si watu wengine hapa hawajibu hoja wao kushambulia tuu watu
 
Jamani watu badala ya kumpa jibu mnaanza kumpaka?
Haya bwana kwa uganda wanayo nayo iko chini ya naibu waziri mkuu na mambo ya africa mashariki wawezaipata hapa

Kenya wanayo pia ni wizara ya africa mashariki nayo iko hapa
Rwanda wana wizara chache sana ila wameandika lugha yao sijaelewa maana yake, kama unafahamu kinyarwanda basi nenda hapa labda utapata chochote.
Burundi wanayo ni Ministry of Regional Integration and East African Community Affairs nenda hapa

so far rwanda ndo haiko clear!

Hongera ndugu yangu kwa majibu yako. Moja ya matumizi bora ya elimu ni kuwaelimisha wengine katika lile unalolijua wewe. Pia katika vitu vichache ambavyo havipungui ukivitoa moja wapo ni elimu. Kila unapoitumia badala ya kupungua inaongezeka. Pia kuna methali inayosema " kuuliza si ujinga" Kama wachangiaji wengine wangekuwa na attitude kama ya wale waliomponda muulizaji, hata Jamvi hili lingekuwa halina maana kwa kuwa moja ya jukumu lake ni kuelimishana.
 
Wadau naomba mnipe darasa kidogo. Hivi nchi nyingine za EAC nazo zina wizara hiyo? Au ni kitengo cha Foreign affairs ministry za nchi hizo?Kama jibu ni negative kwanini sisi tunaipa kipaumbele sana EAC on the expense of tax payers? Au pengine budget ya wizara hii inatoka kwa member states wa EAC?.
Wenu mwanafunzi wa Siasa.& good gorvenance.

nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki zinapaswa kuwa na Wizara hii. Ulazima huu unatokana na Azimio la Wakuu wa nchi walipokutana Nairobi mwaka 2004 Aprili. Uamuzi huu ulikuwa na lengo la kurahisisha uratibu wa kazi za Jumuiya na mchakata wa Utangamano. Kila ncì ina wiza hii. Mawaziri wa Wizara hizi ndio wajumbe wa Council of Ministers. Kwa sasa Tanzania ndio Mwenyekiti.
 
Back
Top Bottom