Wizara ya Africa Mashariki... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wizara ya Africa Mashariki...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by w_makundi, Nov 26, 2010.

 1. w

  w_makundi Member

  #1
  Nov 26, 2010
  Joined: Nov 26, 2008
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau naomba mnipe darasa kidogo. Hivi nchi nyingine za EAC nazo zina wizara hiyo? Au ni kitengo cha Foreign affairs ministry za nchi hizo?Kama jibu ni negative kwanini sisi tunaipa kipaumbele sana EAC on the expense of tax payers? Au pengine budget ya wizara hii inatoka kwa member states wa EAC?.
  Wenu mwanafunzi wa Siasa.& good gorvenance.
   
 2. Avanti

  Avanti JF-Expert Member

  #2
  Nov 26, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 1,209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Please do your research first
   
 3. c

  chamajani JF-Expert Member

  #3
  Nov 26, 2010
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kasome mkataba wa kuanzishwa kwa Jumiya hiyo (Treaty) then uta-delete thread yako soon!
   
 4. M

  MathewMssw Member

  #4
  Nov 26, 2010
  Joined: Mar 27, 2009
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 5. D

  Domo Zege JF-Expert Member

  #5
  Nov 26, 2010
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Jamani si bola mngemuelimisha kidogo kama kuna ministry hizo Kenya,UG,Rwanda&Burundi kuliko kumshambulia tu.Ameshasema ni mwanafunzi wa Siasa &gorvance.
  Nenda google utapata document uisome nafikili utaelewa
   
 6. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #6
  Nov 26, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,710
  Trophy Points: 280
  Jamani watu badala ya kumpa jibu mnaanza kumpaka?
  Haya bwana kwa uganda wanayo nayo iko chini ya naibu waziri mkuu na mambo ya africa mashariki wawezaipata hapa Kenya wanayo pia ni wizara ya africa mashariki nayo iko hapa Rwanda wana wizara chache sana ila wameandika lugha yao sijaelewa maana yake, kama unafahamu kinyarwanda basi nenda hapa labda utapata chochote. Burundi wanayo ni Ministry of Regional Integration and East African Community Affairs nenda hapa so far rwanda ndo haiko clear!
   
 7. jyfranca

  jyfranca JF-Expert Member

  #7
  Nov 26, 2010
  Joined: Oct 3, 2010
  Messages: 299
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Watu kama nyie ndo mnatakiwa hapa, si watu wengine hapa hawajibu hoja wao kushambulia tuu watu
   
 8. t

  tk JF-Expert Member

  #8
  Nov 26, 2010
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 270
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hongera ndugu yangu kwa majibu yako. Moja ya matumizi bora ya elimu ni kuwaelimisha wengine katika lile unalolijua wewe. Pia katika vitu vichache ambavyo havipungui ukivitoa moja wapo ni elimu. Kila unapoitumia badala ya kupungua inaongezeka. Pia kuna methali inayosema " kuuliza si ujinga" Kama wachangiaji wengine wangekuwa na attitude kama ya wale waliomponda muulizaji, hata Jamvi hili lingekuwa halina maana kwa kuwa moja ya jukumu lake ni kuelimishana.
   
 9. Zitto

  Zitto MP Kigoma Urban

  #9
  Nov 26, 2010
  Joined: Mar 2, 2007
  Messages: 1,197
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki zinapaswa kuwa na Wizara hii. Ulazima huu unatokana na Azimio la Wakuu wa nchi walipokutana Nairobi mwaka 2004 Aprili. Uamuzi huu ulikuwa na lengo la kurahisisha uratibu wa kazi za Jumuiya na mchakata wa Utangamano. Kila ncì ina wiza hii. Mawaziri wa Wizara hizi ndio wajumbe wa Council of Ministers. Kwa sasa Tanzania ndio Mwenyekiti.
   
 10. M

  Msharika JF-Expert Member

  #10
  Nov 26, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  thanks zitto for clarity
   
 11. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #11
  Nov 26, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  achenizenu nyie wenyewe hamjui harafu mnajifanya mwajua, si mtoe majibu juu ya alichokiuliza kama hamjui kaeni pembeni
  sio kuharibu hali ya hewa hapa, wachoyo na msivyovijua, je mngekuwa mnavijua?
   
 12. w

  w_makundi Member

  #12
  Nov 27, 2010
  Joined: Nov 26, 2008
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ahsante Zitto! na wote ambao tume- elimishana. kuuliza si ujinga nduguzanguni!
   
Loading...