secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,609
Silo akistaafu naona mama mwingine anaweza kaa paleNi kweli kwa sasa Wanawake wanaweza wao wenyewe bila kuwezeshwa kwa sababu wizara zote wanazoongoza so far zinafanya vizuri.
Mulamula yuko vizuri, Ndalichako anasonga mbele, Ummy anatuvusha na Gwajima anazidi kutuimarisha.
Hata bungeni Dr Tulia anafanya vizuri sana pamoja na Katibu wa bunge.
Pale mahakamani ndio bado hapajabalance lakini tunategemea Rais Samia atapabalansisha kwenye uteuzi wa Jaji Kiongozi
Mungu ni mwema wakati wote!