Wizara muhimu zote zinaongozwa na Wanawake (Ulinzi, Afya, Elimu, TAMISEMI, Teknolojia, Foreign) sasa tunasubiri Jaji Kiongozi

Ni kweli kwa sasa Wanawake wanaweza wao wenyewe bila kuwezeshwa kwa sababu wizara zote wanazoongoza so far zinafanya vizuri.

Mulamula yuko vizuri, Ndalichako anasonga mbele, Ummy anatuvusha na Gwajima anazidi kutuimarisha.

Hata bungeni Dr Tulia anafanya vizuri sana pamoja na Katibu wa bunge.

Pale mahakamani ndio bado hapajabalance lakini tunategemea Rais Samia atapabalansisha kwenye uteuzi wa Jaji Kiongozi

Mungu ni mwema wakati wote!
Silo akistaafu naona mama mwingine anaweza kaa pale
 
Ni kweli kwa sasa Wanawake wanaweza wao wenyewe bila kuwezeshwa kwa sababu wizara zote wanazoongoza so far zinafanya vizuri.

Mulamula yuko vizuri, Ndalichako anasonga mbele, Ummy anatuvusha na Gwajima anazidi kutuimarisha.

Hata bungeni Dr Tulia anafanya vizuri sana pamoja na Katibu wa bunge.

Pale mahakamani ndio bado hapajabalance lakini tunategemea Rais Samia atapabalansisha kwenye uteuzi wa Jaji Kiongozi

Mungu ni mwema wakati wote!
Pale pia wizara ya fedha ,apelekwe mwanamama ambae yupo VIZURI, asilimia kubwa ya wanamama sio wezi Kama wanaume
 
  • Thanks
Reactions: Oxx
Ni kweli kwa sasa Wanawake wanaweza wao wenyewe bila kuwezeshwa kwa sababu wizara zote wanazoongoza so far zinafanya vizuri.

Mulamula yuko vizuri, Ndalichako anasonga mbele, Ummy anatuvusha na Gwajima anazidi kutuimarisha.

Hata bungeni Dr Tulia anafanya vizuri sana pamoja na Katibu wa bunge.

Pale mahakamani ndio bado hapajabalance lakini tunategemea Rais Samia atapabalansisha kwenye uteuzi wa Jaji Kiongozi

Mungu ni mwema wakati wote!
Kuna CDF na IGP
 
Gwajima anazidi kutuchekesha
 
Mkihamisha Magoli kutoka kwenye Malengo Mahsusi ya Nchi na Kukimbilia Kwenye Wanawake wanawake wanawake hapo ndio mtaharibu...Wanawake wajisimamie maana yake uwezo wa mtu kutenda Mwenyewe umweke pahala anapostahili sio upendeleo...

mkumbuke wanawake akipata cheo wao wenyewe huanza kudharau wanaume na Kuleta Migogoro wakati mwingine...

Hudharau mpaka mume wa ndoa...Na ndio mana ukiwaangalia Feminist wengi hawana ndoa...

kama Ndoa tu hawezi kuhehimu Mume huyo atakuaje kiongozi mana lazima aheshimu anaowaongoza sio kupewa madaraka unajiona una akili kuliko wote.
 
Back
Top Bottom