Wizara Hatari Tanzania: Ofisi ya Raisi, Nishati na Madini, Fedha. Siri Kubwa Ndani... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wizara Hatari Tanzania: Ofisi ya Raisi, Nishati na Madini, Fedha. Siri Kubwa Ndani...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by niweze, Jan 24, 2011.

 1. n

  niweze JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ofisi ya Raisi: Muundaji wa Dili Zote- Jakaya Mrisho Kikwete
  [​IMG]
  Hii ofisi ya heshima ya Taifa letu inatumika kama mwanzo wa utengenezaji wa deals zote za Taifa letu. Mikataba ya raslimali zote imeanzia hapa, poor policies zote zimeanzia hapa, umaskini wote wa Tanzania unatengenezwa hapa na wafanya biashara fake - mafisadi wanapata access zote hapa...
  Wizara ya Nishati na Madini: Ngereja
  [​IMG]
  Hii Wizara inaongoza kwa siri nyingi na mikataba ya viongozi wa CCM. Ngereja amewekwa kama mlinzi wa deals za mafisadi
  Wizara ya Fedha: Mustafa Mkulo
  [​IMG]
  Hii wizara kama tumesikia hivi karibuni Mkulo akilia kwamba katumia pesa kidogo sana kupanda ndege katika safari za nchi kwake. Hii wizara ndio inaandaa cover up na kucheza na value ya fedha ya Tanzania, zaidi wanafanya malipo ya siri bila wanachi kujua pesa zinatumuka vipi...
  Wizara ya Ulinzi na Usalama: Hussein Mwinyi
  [​IMG]
  Sababu moja tu ya Hussein Mwinyi kuwekwa kwenye hii wizara ni kutoa support kwa Kikwete na kuhakikisha siri za uchaguzi hazitoki na kumwandaa kugombea mwaka 2015. Aibu ni kwamba "Katiba itamwumbua" hakuna uchaguzi 2015 bila kujua ukweli wa uchaguzi 2010..
   
 2. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hii thread imekosa balance na wala hakuna objectivity! Kwa nini unasema hivyo?
   
 3. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wizara ya nishati, hakika, ni wizara mama ya mikataba feki ambayo modomo ya mafisadi imejificha hapo
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Hebu fafanua hapo wizara ya nishati na madini maana umesema inaongoza kwa siri nyingi. Ni zipi hizo?
   
 5. E

  Elifasi Senior Member

  #5
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 180
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mengi hapa ni mambo tunayasikia midomoni kwa watu mitaani, bila ushahidi wa kutosha. Tunataka facts sio porojo za vijiweni na bar! sio lazima u-post, na sio lazima UWEZE! No searched facts, no support, no posting, PERIOD!
   
Loading...