Wizara elimu na neno 'siri' juu ya barua ya shule kufutiwa usajili

mbm

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
604
286
Kuna shule imefutiwa usajili lakini barua ya kufutiwa imepigwa mhuri Wa neno 'siri' juu na chini.
Nimeiona kwa macho.
Je huu ni utaratibu au? Kwann isiwe public info.?
Nimechunguza nimeona hawajafata utaratibu kama Sera ya kufuta shule inavyosema.
 
Wadau Wa elimu wanaanzisha shule kwa gharama kubwa inasajliwa na wizara kwa kufuata taratibu

Mtu mmoja anakuja na bila utaratibu anaifuta hii inabidi ifatiliwe
 
Kuna shule imefutiwa usajili lakini barua ya kufutiwa imepigwa mhuri Wa neno 'siri' juu na chini.
Nimeiona kwa macho.
Je huu ni utaratibu au? Kwann isiwe public info.?
Nimechunguza nimeona hawajafata utaratibu kama Sera ya kufuta shule inavyosema.

kwani sera inasemaje?
 
Tuwekee kapicha basi ka iyo barua.
 
Na wewe mwenyewe umeweka siri kwa kutoitaja hiyo Shule halafu unataka wao waweke wazi this is crazy
 
Ona sera
 
Attachments

  • Screenshot_2016-12-25-09-53-55.png
    Screenshot_2016-12-25-09-53-55.png
    24.7 KB · Views: 35
Search
Education act of 1969
On sect. 32
You will see.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom