Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna shule imefutiwa usajili lakini barua ya kufutiwa imepigwa mhuri Wa neno 'siri' juu na chini.
Nimeiona kwa macho.
Je huu ni utaratibu au? Kwann isiwe public info.?
Nimechunguza nimeona hawajafata utaratibu kama Sera ya kufuta shule inavyosema.
Tuwekee kapicha basi ka iyo barua.Kuna shule imefutiwa usajili lakini barua ya kufutiwa imepigwa mhuri Wa neno 'siri' juu na chini.
Nimeiona kwa macho.
Je huu ni utaratibu au? Kwann isiwe public info.?
Nimechunguza nimeona hawajafata utaratibu kama Sera ya kufuta shule inavyosema.
Mmmmmmmh sawa"siri" wajua maana yake.
Tujadili kwa faida ya wengi na wizara yetu
Ndio utaratibu au wanawaoneya.