Wivu wa mapenzi katika ndoa

software

Member
Nov 28, 2011
18
2
Hivi ni kwanini wanandoa hata kama hawapendani hua mwanaume akisikia mke wake ana uhusiano nje hua anafanya tukio?
 
japo sijaelewa sana lakini kwa kutegemea na kichwa cha thread yako ni kwamba THERE IS NO LOVE WITHOUT JELOUS ikiwa na maana kwamba popote palipo na upendo wivu ule wa kiasi ni vizuri uwepo,kama una mpenzi/mke/mme ambaye hajishughulishi na wewe hata akuone umekumbatiana na mtu wa jinsia tofauti na wala hastuki au hata kukuuliza chochote unaweza weka mashaka kidogo kama kweli anakupenda na angependa uwe wake peke yake,ila kama upendo haupo kati ya wawili wivu wa nini?hope nimeeleweka kwa kiasi mkuu software.
 
Last edited by a moderator:
Ulijuaje hawapendani? Kitendo cha kufanya tukio akichapiwa kinaonyesha anampenda! Sasa sijuwi wewe unakujaje na assumptions hizo
 
japo sijaelewa sana lakini kwa kutegemea na kichwa cha thread yako ni kwamba THERE IS NO LOVE WITHOUT JELOUS ikiwa na maana kwamba popote palipo na upendo wivu ule wa kiasi ni vizuri uwepo,kama una mpenzi/mke/mme ambaye hajishughulishi na wewe hata akuone umekumbatiana na mtu wa jinsia tofauti na wala hastuki au hata kukuuliza chochote unaweza weka mashaka kidogo kama kweli anakupenda na angependa uwe wake peke yake,ila kama upendo haupo kati ya wawili wivu wa nini?hope nimeeleweka kwa kiasi mkuu software.

Mimi nahisi pengine mtu anakua concerned na "heshima" yake pale anapoona mke wake anatoka anakasirika kwa kudhani pengine anavunjiwa heshima.. ni mtazamo wangu tu
 
kwa upande wangu sidhani heshima ni chanzo cha wivu NO wivu unatokana na upendo alionao mtu kumwelekea mtu mwingine wivu humplelekea mtu kuamini kuwa yule mtu aliyenaye ni wa kwake peke yake na hahitaji kumshea na mtu mwigine.
Mimi nahisi pengine mtu anakua concerned na "heshima" yake pale anapoona mke wake anatoka anakasirika kwa kudhani pengine anavunjiwa heshima.. ni mtazamo wangu tu
 
hamna kitu kinachomuuma mwanaume kama kuona sehemu aliyokuwa au anayostarehe yeye na mwengine anastarehe.utundu anaoufanya yeye na mwengine anafanya.hiyo nikama dharau kubwa sana kwao.
 
Back
Top Bottom