Wivu wa Mapenzi Amuunguza Kwa Pasi ya Moto Mkewe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wivu wa Mapenzi Amuunguza Kwa Pasi ya Moto Mkewe

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Apr 26, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,002
  Likes Received: 3,578
  Trophy Points: 280
  [TABLE="width: 491"]
  <tbody>[TR="bgcolor: #E1E1E1"]
  [TD][​IMG]
  Mke wa Henry baada ya kuunguzwa vibaya na moto wa pasi[/TD]
  [TD]
  Mwanaume mmoja wa nchini Nigeria anashikiliwa na polisi kwa kumuunguza na pasi ya moto mkewe sehemu mbali mbali za mwili wake zikiwemo sehemu zake za siri kwa kile kilichodaiwa mkewe ana uhusiano wa kimapenzi na baba yake mzazi.[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"]Mwanaume aliyejulikana kwa jina la Henry Nnamdi mkazi wa jiji la Lagos nchini Nigeria, alimuua mtoto wake mchanga kwa kukibamiza kichwa chake kwenye sakafu mpaka alipofariki.

  Henry hakuishia hapo alimchukua mke wake wa ndoa yao ya miaka miwili na kumfunga na kamba kwenye kiti kabla ya kutumia pasi ya moto kumuunguza mkewe sehemu mbali mbali za mwili wake.

  Henry alimuunguza vibaya mkewe kwenye matiti yake na sehemu zake za siri na sehemu mbali mbali za mwili wake kiasi cha kumfanya mkewe apoteze fahamu na hajazinduka hadi sasa.

  Chanzo cha yote ni wivu wa Henry kuwa mkewe ana uhusiano wa kimapenzi na baba yake Henry na kwamba huyo mtoto wake mchanga si mtoto wa damu yake kibailojia.
  Henry anamtuhumu baba yake mzazi kutembea na mkewe.

  Tukio hilo lililoutikisa mji wa Lagos, lilitokea wakati wa sherehe za pasaka mwezi huu ambapo majirani wa kitongoji cha Okota walishtushwa usiku usingizini na kelele za kuomba msaaada za mke wa Henry aliyejulikana kwa jina moja la Nnamdi.

  Mke wa Henry huku akilia kwa uchungu wa maumivu ya kuunguzwa na moto wa pasi, aliwaita majirani waje kumuokoa.

  Baada ya majirani kusita sita kuingia ndani ya nyumba ya Henry, walilazimika kuvunja mlango na kuingia ndani baada ya kelele za maumivu za mke wa Henry kuzidi.

  Waliyoyashuhudia ndani baadhi walishindwa kuyangaalia kwa mara ya pili waligeuza njia na kurudi walikotoka na kwenda kuwaita polisi.

  Polisi waliwahi kufika na kumkuta mke wa Henry akiwa amezimia hajitambui na maiti ya mtoto wake mchanga ikiwa kwenye sakafu.

  Henry alikamatwa na kutiwa mbaroni huku mkewe akiwahishwa hospitali ambako madaktari hadi sasa wanapigania maisha yake ingawa bado fahamu zake hazijamrudia.

  Baba yake Henry amekanusha kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mke wa mwanae akisisitiza kuwa mwanae atakuwa amehisi hivyo kwakuwa siku zote alikuwa akimpinga tabia yake ya kumnyanyasa na kumpiga mkewe. Majirani wengi wanamuunga mkono baba yake Henry kuwa ni mtu mzuri na hawezi kumsaliti mwanae na kulala na mkewe.

  Henry anaendelea kushikiliwa na polisi.[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3, align: center"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [/TR]
  </tbody>[/TABLE]
  Wivu wa Mapenzi Amuunguza Kwa Pasi ya Moto Mkewe
   
 2. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kweli watu ni wanyama yaani nyepu tu mtu anakuwa katili kiasi hiki.Hii dunia sijuiiii
   
 3. NdasheneMbandu

  NdasheneMbandu JF-Expert Member

  #3
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 940
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unafanya mchezo nini na NYEPU!?
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,809
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  This is disgusting... the guy should be burnt to death

  Aaaahhhgggrrrr
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24,911
  Likes Received: 1,954
  Trophy Points: 280
  Khaaaa wivu gani huo tena,hawa kina oga vipi?
   
 6. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #6
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ndo maana nina mademu kibao ili kupunguza wivu
   
 7. munisijo

  munisijo JF-Expert Member

  #7
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 831
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 60
  Dah, jamaa kwel mnyama..alijua ipo moja tu duniani?
   
 8. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #8
  Apr 26, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ndugu,
  While you say this, think of someone you know, and picture the situation.

  Would you say the same thing?
  If not, then your phrase should have not been written.

  I hope you change your mindset.

  Asante!
   
 9. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #9
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,895
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  etimes wanawake wanakera sana ila hiyo adhabu imepitiliza.
   
 10. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #10
  Apr 26, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,720
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Shit! This is too much! Huu ni upumbavu,ni bora kama vipi angemuacha tu aende zake. Hata wanyama hawatendi hivyo.
   
 11. B

  Bengal Sanke Member

  #11
  May 2, 2012
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ana matatizo ya akili kabsa
   
Loading...