Wivu tunaoonewa na Mabeberu hauelezeki. Wamefura mashavu kwa hasira. Tutawanyoosha tu

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,471
23,744
Nadhani kuna somo watakuwa wamelipata...hawatutishi tishi,hawatubabaishi. Hatuhitaji misaada yao nasi hatuwapi ya kwetu.

Huu ni wakati wa kuacha kushirikiana na WHO,IFM,WB,USA na West Countries ambazo zinadhani zina uwezo wa kulingana nasi.

Walitegemea tungekufa kwa Corona kumbe ndo kwanza tumejifukiza na miti yetu hii ipo telee kwa joto la Centigrade 100 na zaidi. Virusi vya Corona vimelainika na kuwa supu miilini mwetu.

Hatujaka misaada yao yenye masharti.na najua kuna siku wao watataka misaada kwetu ndipo tutakapowakumbusha manyanyaso yao.

Tunawashinda kila sehemu na wale waliokuwa wakifa kwa Corona kwa kutumwa na mabeberu tunawaambia janja yao tumeifahamu.tanzania bado ipo sana. Wataiona hivi hivi.
 
subiri kuanzia Januari ndipo maji mtayaita mma shubaaaamit!
 
Mkuu hao unaowaita mabeberu wana "multiple of plans in place" kwa hiyo kama "target" yao itakuwa ni sisi, "plan B" yao itakuwa ina "impact" mbaya sana kwetu. Kwa kuzingatia tumeamua kuachia mipaka yetu kwa ajili ya utalii, basi tupo "acutely vunarable" kwa "any attempt of biological weapons test".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku tukiwa na taasisi zetu wenyewe kama hizo na kushirikiana kwa maendeleo nchi zote za Africa basi tutapasua tu

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Halafu mnataka wawasamehe madeni,hapohapo tunaomba mkopo mara msaada yaani vuruguvurugu .Mwenye pesa na mipango sio mwenzio wao wanamipango madhubuti nyie bora watu wafe mpate kodi.
 
....tumejifukiza na miti yetu hii ipo telee kwa joto la Centigrade 100 na zaidi. Virusi vya Corona vimelainika na kuwa supu miilini mwetu.
Hatujaka misaada yao yenye masharti.na najua kuna siku wao watataka misaada kwetu ndipo tutakapowakumbusha manyanyaso yao.
Hayo ndio madhara ya Supu ya Corona kwenye mwili, kwako yamefika kwenye Ubongo.
 
Hiyo laana ya kujiita chizi maarifa itakutafuna maishani mwako mpaka kufa kwako, hata Kwenye ulimwengu wa roho umeshapigwa chapa ya uchizi....
Unanipa majina laana mwisho wa siku unakuwa mjinga Fulani hivi hapa jukwaani
 
Hakuna kitu muhimu kama kuitambua nafasi yako iko wapi. Tofautisha kati ya unavyo deal na watu wanaokuzunguka kwenye jamii unayoishi nayo inayokuzunguka na mahusiano ya kimataifa na utashi wake jinsi ulivyo.

Uzuri wa kipekee unachokizungumzia kina data za wazi. Cha kufanya ni kuangalia faida za uhusiano wetu na wao na hasara. Ukishajua hilo yafaa kujitafakari nafasi yako kwenye hii dunia ni ipi?

Kingine hizo Taasisi ni za kimataifa! Kwa namna moja ama nyengine ni lazima kutakuwa na vigezo vilivyowekwa kimataifa ambavyo kuvipata itakubidi upitie kwao.

Uzuri mwengine mambo yanakwenda kwa historia. Pitia historia kuangalia je, kuna nchi ambazo zilifanya kama unavyoshauri? Nafasi zao zilikuwa ni zipi? Ziliweza kuishi? Kama zilistawi zilitumia njia gani? Kama hazikustawi ni kipi kilicho wadumaza?

Baada ya hapo utaitambua nafasi yako kwenye hii dunia ni ipi na nafasi ya hizo Taasisi za Kimataifa kwenye hii dunia ni ipi? Ni muhimu kuifahamu nguvu yako?

Niwe muwazi; sifungamani na itikadi ya chama chocolate. Ila sipendezwi na siasa inayofanywa ndani ya nchi yetu na walishika mamlaka. Inapandikizwa fikra ya kuwa wanaotofautiana kifikra na maamuzi ya serikali hususani ikiwa ni mahusiano ya kimataifa wanaitwa si wazalendo! Ni mawakala wa mabeberu!

Hii siasa si nzuri! Na ajabu serikali ina kiburi kwa dhana ya sisi ni nchi huru hatupangiwi. Wengi wa raia mtaani hawafahamu nguvu zilizokuwa nazo au walizonazo hao mabeberu. Wamekuwa ni bendera fuata upepo. Tunafahamu na iko wazi hawa mbeberu wanatubeba kwa kiasi kikubwa sana licha ya unyonyaji waliyokuwa nao. Mfano wa wazi ni bajeti ya nchi yetu takribani 40%+ wanasaidia wao. Yaani wanatusaidia kuiendesha nchi yetu kwa 40%+..Ni asilimia kubwa sana!

Hawa majamaa ukiwachokonoa nao wanakuchokonoa, ila wao wanakwenda kimahesabu zaidi. Na ukiangukia kiujumla kwenye mahesabu yao umekwenda na maji kabisa! Kama tunashindwa kuijeshimu nafasi yetu kwenye hii dunia basi tuuheshimu muda! Muda tuliyonao si rafiki kwetu.

Tuache siasa za ajabu! Tuache siasa zenye kuangamiza Taifa. Taharuki ikiingia haitobagua itatusomba sote! Sitoshangaa na watakaokuja na mapovu, imetugharimu tunaishi kimazoea sana mpaka tunashindwa kuoona uhalisiya. Inaniumiza na inanisikitisha sana!
 
Nadhani kuna somo watakuwa wamelipata...hawatutishi tishi,hawatubabaishi. Hatuhitaji misaada yao nasi hatuwapi ya kwetu.

Huu ni wakati wa kuacha kushirikiana na WHO,IFM,WB,USA na West Countries ambazo zinadhani zina uwezo wa kulingana nasi.

Walitegemea tungekufa kwa Corona kumbe ndo kwanza tumejifukiza na miti yetu hii ipo telee kwa joto la Centigrade 100 na zaidi. Virusi vya Corona vimelainika na kuwa supu miilini mwetu.

Hatujaka misaada yao yenye masharti.na najua kuna siku wao watataka misaada kwetu ndipo tutakapowakumbusha manyanyaso yao.

Tunawashinda kila sehemu na wale waliokuwa wakifa kwa Corona kwa kutumwa na mabeberu tunawaambia janja yao tumeifahamu.tanzania bado ipo sana. Wataiona hivi hivi.

Kama wee ni Mzalendo wa kweli unaye ipenda nji yako huwezi kuandika huu uharo....!!
Tanzania siyo Kisiwa Cha peponi! Maadamu tupo katika dunia hii ya Maulana itakuwa ni ngumu Sana kuvunja mahsiano na nchi ulizozitaja!
Baba wa Taifa Mwl. Nyerere was very smart katika maswala ya Kitaifa na Kimataifa na aliheshimika dunia nzima.
Kamwe hata siku moja Baba wa Taifa hakuwahi kuvunja Uhusiano na Taasisi za Kimataifa: WHO; IMF, UN, UNESCO, UNHCR pamoja na nchi za Magharibi ati kwasababu ya kuwekewa masharti magumu ya mikopo....! Mwalimu alikuwa akipambana kwa HOJA NA WAZUNGU WALIKUWA WAKIMWELEWA KWA HOJA NA HATIMAYE KUKUBALI HOJA ZAKE!

Tatizo la Jiwe analazimisha Mambo kwa kuidanganya dunia kuwa Tanzania hakuna wagonjwa wa Corona ilhali HAKUNA TAKWIMU zosote tokea Tarehe 29/04/2020...!!!
 
Nadhani kuna somo watakuwa wamelipata...hawatutishi tishi,hawatubabaishi. Hatuhitaji misaada yao nasi hatuwapi ya kwetu.

Huu ni wakati wa kuacha kushirikiana na WHO,IFM,WB,USA na West Countries ambazo zinadhani zina uwezo wa kulingana nasi.

Walitegemea tungekufa kwa Corona kumbe ndo kwanza tumejifukiza na miti yetu hii ipo telee kwa joto la Centigrade 100 na zaidi. Virusi vya Corona vimelainika na kuwa supu miilini mwetu.

Hatujaka misaada yao yenye masharti.na najua kuna siku wao watataka misaada kwetu ndipo tutakapowakumbusha manyanyaso yao.

Tunawashinda kila sehemu na wale waliokuwa wakifa kwa Corona kwa kutumwa na mabeberu tunawaambia janja yao tumeifahamu.tanzania bado ipo sana. Wataiona hivi hivi.
Ile mijitu inatumia akili sio kubahatisha kama hapa miembeni.
 
Mkuu embu acha mihemko na kukurupuka...kumbuka hao unaowaita mabeberu ndio wamekuletea maendeleo pumbavu wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana ukaamua ujiite CHIZI maana huwez kufikiria

Back
Top Bottom