Wivu mwengine hatari

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,810
Wivu mwengine hatari

attachment.php

i.jpg

hahahaaaaaaaaa................

huyu jamaa akifumania live, nafikiri asipoua mtu, atakufa yeye kwa mshtuko..............

its very funny..........
 
mama mbavu zangu wee!hii inanikumbusha mama mmoja alikua akijua mumewe anakuzengea basi anakufuata na kukuonesha cheti cha ukimwi kuwa yeye na mumewe ni wathirika lkn wengine walikua wanadhani ni janja tu mama ya kumvurugia mzee.
 
hata mie nina jamaa yangu mmoja analalamika kuwa mkewe huko bongo anmtangazia kuwa ana ukimwi, sasa ndo naanza kupata picha, kumbe ni janja ya kujihami tu.............!!!!!!!!!!
 
inawezekana ni janja ya kujihami au janja ya kuokoa wengine wasipatwe na maambukizi.hivyo hapo unabakia kwa mtu mwenyewe kuamni ni janja ya kujihami au ya kuokoa maisha ya wengine.
 
yote yanawezekana ndugu yangu, lakini kumsema mwenzio ni unyanyapaa na sio ustaarabu. jamaa yeye anasema anajiamini yuko fiti na wanaompigia simu kumueleza kuwa mkewe aliwaambia ni ma ex wake, unaona picha inavyokuja hapo?

.........kwa mwanga huu wa hii katuni, uwezekano mkubwa ni kijihami yeye zaidi.....................
 
ni kweli kumsema mgonjwa ni kumnyanyapaa na mbaya zaidi ni kumtangazia asiye nao.sijui kuhusu rafiki yako lkn huyo baba nilioongelea kusema kweli alikua ni kiwembe sana hajali family pesa yote inaishia kwa totoz.saa ingine naona mama alikua right maana hiyo labda ilisaidia huyo mzee akose totoz.labda rafiki yako naye akiwa home naye anakua anamuumiza mpenzi wake kwa kuwa na wanawake wengine ndo maana akaamua kufanya hivyo kumtuliza.
 
kwa vile wife wake anawalenga ma ex wake zaidi, basi hapo moja kwa moja ni wivu, unajua ex wako kama hamkuachana kwa ugomvi ni rahisi mkiktana kutest japo mara mojamoja, na mitoko ya msimu na ex ni kama kawa, sasa na wife anajua hili, ndo maana anjihami.........
 
mtatest kama wote bado mko masingle.sasa rafiki yako keshaoa mitoko ya msimu na ex wake ya nini tena?hiyo kweli anafanya sbb ya wivu.
 
hahahaaaaaaaaa unadhani mitoko itakoma kama hawakugombana????????? haya mambo ni complex sana...........

ukitaka kuishi na mwanume bila pressure (kama umeolewa), kubali tu atafute mtu wa kukusaidia kazi ila msisitize iwe siri. nikuambie ukweli, kwa wanawake wa siku hizi, mwanaume hawezi kuwa na mmoja pekee, haiwezekani.................
 
huko ni kukosa msimamo,wee umeshaachana na mtu na sasa una mke uache kupalilia ndoa yako uendeleze mitoko na ex..!!!.
mi nijuavyo ukitaka kuishi na mume bila preassure kubali asiwe na mwingine wa kukusaidia na inawezekana sanaaaa na maushahidi yapo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom