Wivu kwenye mapenzi huboresha au hubomoa penzi?

wivu unaongeza penzi au unabomoa especially pale unapohisi kitu na kuanza kuona wivu bila ya kutafutia uhakika?

emiliana hyera
Junior Member

Join Date
Wed Mar 2010
Posts
2
Thanks : 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power
0


Nimekuelewa Emiliana. Karibu sana ila punguza wivu kidogo.
 
wivu ukizidi ni tatizo na inapelekea hata kuvunja mahusiano kama hamtakuwa makini
 
Wivu ni tabia mwanadamu anazaliwa nayo!cha muhimu tunaitumiaje kwa manufaa; tukilijua hili wivu si kitu kibaya vile!
 
Mapenzi bila wivu hayajatimia. ila wivu usizidi kwani uhusiano mwingi huvunjika kwa sababu ya wivu uliokithiri.
By the way Emiliana karibu jamvini.
 
kwenye mapenzi wivu ni sehemu mojawapo, lakini unapozidi unaweza kuwa kero na hata kusababisha kuvunjika kwa penzi. lakini wivu huo pia unaweza kuboresha Pendo kwani unaweza kukufanya uone mwenzio anajali.
 
Kaka mimi naona huboresha penzi kama mwanamke kakupenda kama mwanamke mwenyewe haja tulia hapo umejisababishia matatizo:glasses-nerdy:
 
Back
Top Bottom