Wito wangu kwa wanajamii na watanzania kwa ujumla | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wito wangu kwa wanajamii na watanzania kwa ujumla

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by ALU-MASOLI, Oct 16, 2010.

 1. ALU-MASOLI

  ALU-MASOLI Member

  #1
  Oct 16, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
  ü Tuchague viongozi wenye sera zitakazosimamia haki za raia wote bila ubaguzi wala upendeleo.
  ü Tuchague viongozi watakao simamia majukumu yao ipasavyo.
  ü Tuchague viongozi ambao hawana kashfa wala historia za ufisadi au uhujumu wa taifa letu.
  ü Tuchague viongozi ambao katika kipindi kilichopita walitutumikia vizuri.
  ü Tuchague viongozi ambao ilani yao inalenga katika kuwekeza kwenye elimu bora kwa kuwa huo ndio mustakabali wa taifa letu hapo baadaye.
  ü Tuchague viongozi ambao ahadi zao zinatekelezeka i.e wanaeleza kinagaubaga jinsi wanakavyosimamia na kuzifanikisha.
  ü Tuwapotezee viongozi ambao wanatishia Amani ya nchi yetu.
   
Loading...