Elections 2010 Wito wa mwisho: Tukapige kura!

MOMO

Member
Feb 10, 2008
83
3
Kwa mara ya kwanza nimejikuta naingiwa na uzalendo wa hali ya juu wa kufanya Campaign ya masafa marefu (kwa simu) kuhamasisha ndugu, rafiki, na jamaa zangu huko Tanzania kwenda kupiga Kura. Nimeweza kuwafikia takribani watu 70 ndani ya dakk 5. Please kwa wale tulio nje ya Nchi hii ndio njia pekee ya ku-participate katika uchaguzi huu.

And, wa muda mrefu sasa (since 2006) nimekuwa under dog kwenye hii JF:tape: kama msomaji ila bila kushare vision zangu wala kupost kitu chochote.

Ila kwa kifupi napenda kusema Asanteni njote mnaoiwezesha JF...saa ya ukombozi imefika GO VOTE FOR CHANGE, VOTE FOR THE NEW VISION, VOTE FOR NEW TANZANIA!!!...Mungu Ibariki Tanzania!

:cheer2:
 
Ndg zangu naamini wengi bado hamjaamka! Bado ni asbh sana, Nawaombeni muamke twendeni tukamalize kazi yetu, mkumbushe shemeji yangu usimsahau, jirani yako usimwache! haya twendeni leo, *Pamoja na taarifa zenye kukatisha tamaa mimi nawahimiza twendeni, hatuna siku nyingine ya kuikomboa TANZANIA, Ni leo hii tu, Twendeni tukafute damu za ndg zetu waliouwawa pasi na kosa na watoto wetu waliodhulumiwa haki zao za kuishi, twendeni!! Tusimwage damu hata tone, ! bali hoja na jasho la dhuluma, twende VIVA DK SLAA
 
Twendeni vijana wangu twendeni! Sauti za ndege zimeanza kuimba wimbo wa ushindi, TWENDENI, amka JF amka, NINI maana ya elimu yako kana ndg zako wanakufa kwajili ya kumpisha nwekezaji? twendeni leo, KADI YAKO NDIO SILAHA YAKO, tukalie kwa kuomboleza ktk kiu ya kutaka HAKI hata kama tutapigwa but hawatatumaliza kwani walioko nyuma yetu ni wengi kuliko walioko juu yetu, TWENDENI,
Nani kachangia umaskini huu? NANI kaleta matabaka haya? Twendeni tukamuondoe kwa silaha ya kura yetu, silaha isiyomwaga damu! SLAA
 
Haaa!!! vitisho? Mmmhh, nani alitishwa akafa?? KUFA? Siamini kufa? nani hata kufa? KURA yangu uhai wangu, ukandamizwaji, wizi, dharau? twendeni tukaonyeshe maana ya elimu yetu!!! twendeni, SLAA MDINI???? MKABILA? MHUNI??? Mbona yeye hakutukana wengine! kichekesho, teh, teh, teh, kumbe SLAA ndo aliewaomba viongozi wa dini wampigie kura? kUMBE SLAA ndie aliejaza ndg na marafiki ikuluni??
Kunya anye bata, akinya kuku!!! SLAA, NENDA SLAAA
 
nipo tayari kituoni tayari kumpa slaa ushindi. wafanyakazi wa tume ya uchaguzi wanababaika tu mpaka kum na mbili na nusu sasa hatujaanza ku vote
 
Peoplessssssssssss Powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Leo ni Leo. Msema Kesho ni Muongo. Saa ya UKOMBOZI!!!
 
ITV wameripoti LIVE toka Manzese kuwa maandaliz ni mabovu kabsaa, mambo yako hovyo, sijui tutaweza!!! naenda kupiga KURA yangu MLIMANI-UDSM ntawapa updates za hapo
 
Slaa shujaa wa watanzania, "slaa za vita vetu" ww ni mwanaume wa shoka, kura yangu nimekupa leo, mnyika nimekupa kura yng, chadema ni chaguo langu.
 
Mie tayari nishasitisha ajira ya Kikwete, nina wino mkononi tayari.
Namtakia kila la kheri Slaa (PhD.)
 
Back
Top Bottom