WITO WA MWANAKIJIJI: Rais Magufuli Atumie Sheria ya Hali ya Dharura (1986) Kukabili COVID-19 (Corona Virus)

Kwa wale wenye kupenda kusoma yenyewe; nimeiambatanisha hapo juu kwenye posti ya kwanza. Siyo ndefu sana wala ngumu sana kuielewa.

Kweli sheria sio ndefu na rahisi kueleweka lakini once akiiweka na kuanza kutumika usishangae tukaambiwa CDM inafutwa kwani inasaidia kueneza Corona ktk mikutano yake na inawezekana 100% kwa hapa tulipofikia mungu apishilie mbali
 
Wewe na hao wenzio mnaotaka corona ije, "na ipitie kwenu ninyi na ishie hukohuko kwenu"
Korona ije kwanza ili serikali isipoteze rasimali kupambana na chadema bora izo nguvu wazitumie kupambana na korona kukosa majanga ya kitaifa kunaifanya nchi kubweteka na viongozi kufanya mambo ya kipumbavu ugonjwa huu uje tuone investment yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh...!. Kweli is this what you wish for your country?.
Huu ni zaidi ya uendawazimu, ni ushetani kabisa!.
God bless you kwamaana haujui utendalo!.
P
 
Chukua yale yanayofaa mzee,,,
mbona wajilazimisha kuzeeka vibaya!!
Acha uongo na upotoshaji,Trump kutangaza hali ya dharura kupitia sheria ya hali ya dharura ni kufungulia rasilimali za serikali kuu ziweze kutumika kwa upana zaidi katika majimbo kukabiliana na ugonjwa sio hizo propoganda zako ndefu kama riwaya na ambazo mfu ulizoandika.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza, napenda kukufahamisha kwamba huna uelewa wa nini kinaendelea duniani, ni busara ukasikiliza na kujifunza Rais Trump alijaribu ku downplay, madhara ya uchumi ni makubwa sana. Sekta ya usafiri duniani imeathirika sana.
Huwezi kusema kuna Panic wakati nchi kama Italy ipo katika lockdown. Nchi kama China, uchumi wa pili dunia wame lockdown. Kusema kuna panic ni kutoelewa ukubwa wa tatizo. Unazungumzia uchumi gani wa Tz ikiwa chumi za dunia zinazoongoza uchumi wetu zipo katika wakati mgumu. Kuna kitu hukijui.
Watalaam wanasema virus hawa ni novel.
Maana yake ni kuwa hawajulikani tabia zao na hata kwanini wanashambulia wazee zaidi ya vijana inabaki kuwa swali.
Kila siku watalaam wa CDC na kwingine duniani wanabadilisha data ili kujua hawa virus ni wa aina gani .

Virus hawa wanaua mara 10 zaidi ya wale wa kawaida. Kitaalam wanasema Fatality rate yake ni kubwa, kwa maana kuwa ikiwa unaupata chances ya ku survive ni ndogo kuliko virus wa kawaida.
Italy watu 360 wamekufa katika masaa 24. Huwezi kusema hayo ni mafua ya kawaida.
Kusanya takwimu za mataifa kama Marekani, watu wanakufa pamoja na utaalam na wataalam walio nao.

Mafua ya kawaida yanaua zaidi katika season , usichoangalia ni fatality rate. Wangapi wanaugua mafua ya kawaida na ku survive ukilinganisha na Covid. Kuna Epidemiology,Biostat, pathology n.k katika haya mambo si kama unavyotazama wewe kwa uelewa finyu sana. Kwa maana wabongo wamezoea misiba! ndiyo maana nasema, kaa kimya !
For people who like data:

82,000 People are sick with Coronavirus at the moment,
of which 77,000 are in China.
This means that if you are not in or haven't recently visited China, this should eliminate 94% of your concern.

If you do contract Coronavirus, this still is not a cause for panic because:
81% of the Cases are MILD
14% of the Cases are MODERATE
Only 5% of the Cases are CRITICAL

Which means that even if you do get the virus, you are most likely to recover from it.

Some have said, “but this is worse than SARS!”. SARS had a fatality rate of 10% while COVID-19 has a fatality rate of 2%

Moreover, looking at the ages of those who are dying of this virus, the death rate for the people UNDER 50 years of age is only 0.2%

This means that:
if you are under 50 years of age and don't live in China - you are more likely to win the lottery (which has a 1 in 45,000,000 chance)

Let’s take one of the worst days so far, the 10th of February, when 108 people in CHINA died of Coronavirus.

On the same day:
26,283 people died of Cancer
24,641 people died of Heart Disease
4,300 people died of Diabetes
Suicide took 28 times more lives than the virus did.

Mosquitoes kill 2,740 people every day, HUMANS kill 1,300 fellow humans every day, and Snakes kill 137 people every day.
E6A96A25-485D-4C02-AE86-8EAD977D793D.jpeg
 
Naunga mkono hoja, this is the Mwanakijiji we used to know and admired.
Asante Mkuu Mzee Mwanakijiji.

P
Sheria ni huko US na Michigan MMK anakoishi. Huku kwetu Rais wetu wa awamu hii ya tano hana muda wa kusoma hizo sheria. Atafanya chochote anachojisikia pale itakapobidi hata bila hayo maandiko. Huku kwetu rais hafungwi hata na katiba ya nchi.
 
Korona ije kwanza ili serikali isipoteze rasimali kupambana na chadema bora izo nguvu wazitumie kupambana na korona kukosa majanga ya kitaifa kunaifanya nchi kubweteka na viongozi kufanya mambo ya kipumbavu ugonjwa huu uje tuone investment yake.

Inaanza na wewe, watoto wako, hasa yule umpendaye, kisha mkeo na wazazi wako

Lazima mama yako alitanga kuku abort ukagoma....wewe ni kirusi kibaya kuliko korona

Ungejua majanga ya korona usingefurahia
 
Kwanza, napenda kukufahamisha kwamba huna uelewa wa nini kinaendelea duniani, ni busara ukasikiliza na kujifunza Rais Trump alijaribu ku downplay, madhara ya uchumi ni makubwa sana. Sekta ya usafiri duniani imeathirika sana.
Huwezi kusema kuna Panic wakati nchi kama Italy ipo katika lockdown. Nchi kama China, uchumi wa pili dunia wame lockdown. Kusema kuna panic ni kutoelewa ukubwa wa tatizo. Unazungumzia uchumi gani wa Tz ikiwa chumi za dunia zinazoongoza uchumi wetu zipo katika wakati mgumu. Kuna kitu hukijui.
Watalaam wanasema virus hawa ni novel.
Maana yake ni kuwa hawajulikani tabia zao na hata kwanini wanashambulia wazee zaidi ya vijana inabaki kuwa swali.
Kila siku watalaam wa CDC na kwingine duniani wanabadilisha data ili kujua hawa virus ni wa aina gani .

Virus hawa wanaua mara 10 zaidi ya wale wa kawaida. Kitaalam wanasema Fatality rate yake ni kubwa, kwa maana kuwa ikiwa unaupata chances ya ku survive ni ndogo kuliko virus wa kawaida.
Italy watu 360 wamekufa katika masaa 24. Huwezi kusema hayo ni mafua ya kawaida.
Kusanya takwimu za mataifa kama Marekani, watu wanakufa pamoja na utaalam na wataalam walio nao.

Mafua ya kawaida yanaua zaidi katika season , usichoangalia ni fatality rate. Wangapi wanaugua mafua ya kawaida na ku survive ukilinganisha na Covid. Kuna Epidemiology,Biostat, pathology n.k katika haya mambo si kama unavyotazama wewe kwa uelewa finyu sana. Kwa maana wabongo wamezoea misiba! ndiyo maana nasema, kaa kimya !

Asante kaka, uko sahihi sana
 
For people who like data:

82,000 People are sick with Coronavirus at the moment,
of which 77,000 are in China.
This means that if you are not in or haven't recently visited China, this should eliminate 94% of your concern.

If you do contract Coronavirus, this still is not a cause for panic because:
81% of the Cases are MILD
14% of the Cases are MODERATE
Only 5% of the Cases are CRITICAL

Which means that even if you do get the virus, you are most likely to recover from it.

Some have said, “but this is worse than SARS!”. SARS had a fatality rate of 10% while COVID-19 has a fatality rate of 2%

Moreover, looking at the ages of those who are dying of this virus, the death rate for the people UNDER 50 years of age is only 0.2%

This means that:
if you are under 50 years of age and don't live in China - you are more likely to win the lottery (which has a 1 in 45,000,000 chance)

Let’s take one of the worst days so far, the 10th of February, when 108 people in CHINA died of Coronavirus.

On the same day:
26,283 people died of Cancer
24,641 people died of Heart Disease
4,300 people died of Diabetes
Suicide took 28 times more lives than the virus did.

Mosquitoes kill 2,740 people every day, HUMANS kill 1,300 fellow humans every day, and Snakes kill 137 people every day.
Hizi takwimu ni sawa lakini hazi reflect day to day situation.

1. China ni epicenter ya Corona Virus kama novel virus. Idadi tunayoona inatokana na ukweli huo, kwamba ni 'novel' na hawakujua source, hawakujua clinical manifestations, vulnerable groups and incubation period.
Mambo hayo ndiyo yanaofanya idadi kubwa ya Wagonjwa kuwa China.

Taasisi zote za dunia zina learn more about virus kutoka China ikiwemo CDC inayokusanya data za trend.

Pili, kutokana na idadi kuwa China, haikuonekana haja ya kutanganza kama ni Pandemic. Ilichukuliwa kama Endemic.
Kwasasa ni Pandemic kwasababu imegusa kila continent katika dunia hii,

Tatu, Italy imeripoti vifo vya watu 360 within 24 hours. Hii ni developed country na impact ipo hivyo.
Tofauti na Iran yenye vikwazo , haikutegemewa Italy kuwa impacted hadi lockdown ya nchi nzima.

Nne, kuna nchi kama Marekani, UK na Canada ambazo sasa vyuo na shule vimefungwa, watu wanashauriwa kufanyia kazi nyumbani kama inawezekana. Hizi ni nchi za first world.

Tano, vulnerable group hasa katika fatality ni elders 60+. Kumbuka , health care system zao ni nzuri.
Kwa nchi masikini zisizo na hata Oxygen cylinder, generation inaweza ku survive lakini wazee wetu watapukutika.
Je hatuna sababu za kuhofia.

Sita, katika nchi zilizoendelea hata uelewa wa wananchi ni mkubwa. Katika nchi kama Tanzania hizo dala dala zinatosha kusambaza ugonjwa. Sasa angalia Health care system yetu halafu unishawishi kuwa hatutakuwa na death za kutosha.

Ni vema kuangalia takwimu kwasababu haziongopi, lakini tunaongelea current situations and not retrospective study
Data zina vary kwasababu ya intensity and propensity ya ugonjwa at the moment.

Ni kwa msingi huo nakubaliana na Mzee Mwanakijiji kwamba kuchukua tahadhari ni muhimu sana.

Kuna Rais wa Marekani aliwahi kusema ''ni vema kupigana vita ughaibuni ili visifike katika fukwe zako''
 
Anajua watu wengi ni wajinga na hawajui sana siasa za Marekani zaidi ya kudanganyana vijiweni hivyo watakula kirahisi matango pori yake.
Mueleze ukweli huyu jamaa sijui vipi? Kwanza kwa marekani ulivyoelezea wewe ndo sahihi kuhusu hatua aliyoichukua Trump. Hatua atakayoichukua Trump itakayofanana na anachosema ni “martial law”, ambapo bado ulazima huo haujafikia. Japokuwa kuna tetesi hizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika kuchukua hatua yoyote ile serikali yetu ijue kabisa kuwa Uchumi wa watu wetu ni uwezo wa kupata hela ya kula ya siku hiyo.

Iwapo itaingia mkenge na kuchukua measures zitakazowafanya watu washindwe kupata hela ya kula, Itakuwa disaster juu ya disaster nchini.

Just imagine mama Ntilie, vijana wa bodaboda, makondakta, masokoni kote huko Ulimit movement za watu, hali itakuwa mbaya mno watu watageuka majambazi na kuvamia ili wapate hela au mahitaji ya kusurvive.

Serikali ithibiti uingiaji wa wageni, hilo ndo la msingi zaidi kuliko kuchukua measures za kudisturb maisha ya watu wetu wakati hatuna hata case moja ya mtu mwenye Corona.

Tukimruhusu Jamaa yetu kutumia martial laws sijui wale mahasimu wake asiowapenda watakuwa na hali gani, maana sasa anaweza akawasomesha namba kwelikweli maana kipindi hicho baadhi ya haki za raia zinakuwa suspended.
 
Kinachosikitisha ni kuwa watu wengi wanaongea siasa zaidi, Huu ugonjwa unataka kuchukua hatua, Mtu binafsi, serikali yote kwa ujumla.
Lazima tutambue hatua za awali ni zipi pindi mtu anapohisi kuugua afanye nini?
Aende wapi? Dawa gani za kutumia kama matibabu ya awali.
Hata kama hatujapata mgonjwa mpaka sasa ni suala la muda tu tutapata.
Nilisikia taarifa za yule mtaliano aliyeugua baada ya kutoka mapumzikoni Zanzibar,je magnitudeyake ikoje?
Sasa umefika wakati Wa serikali kuwa makini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Korona ije kwanza ili serikali isipoteze rasimali kupambana na chadema bora izo nguvu wazitumie kupambana na korona kukosa majanga ya kitaifa kunaifanya nchi kubweteka na viongozi kufanya mambo ya kipumbavu ugonjwa huu uje tuone investment yake.
Haya ndio maingizo mapya chadema,kutoka hoja hadi kufikia Chadema MFA maji.Pathetic!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom