Wito wa mapokezi ya kichama wa rais kutoka Uingereza

Rais Jakaya si kama hao Wanasiasa uchwara ambao wanajitafutia umaarufu kwa maandamano na mikutano na waandishi wa habari. Jk YUKO kikazi zaidi. Kazi kwanza majungu baadaye.

Inategemea na definition yako ya neno "kazi". Lakini kama unaeilewa kazi kwa muktadha wa walio wengi basi kikwete ni mtu wa mwisho kumuhusisha na kazi!
 
Mnataka mkaone picha alizo piga na ma miss huko wingereza
 
Back
Top Bottom