Wito wa mapinduzi ya kizalendo Tanzania "Nationalism revolution" tarehe 19/02/2011 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wito wa mapinduzi ya kizalendo Tanzania "Nationalism revolution" tarehe 19/02/2011

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by saggy, Feb 12, 2011.

 1. s

  saggy Senior Member

  #1
  Feb 12, 2011
  Joined: Nov 12, 2008
  Messages: 153
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Natoa wito wa "Mapinduzi ya Kizalendo nchi nzima kuanzia tarehe 12/02/2011"

  Kwakweli imedhihirika wazi kwamba Tanzania inahitaji Mapinduzi ya Kizalendo ni lazima wanachi tujue kwamba sisi ndio dola yenyewe na tukiamua jambo wakati wowote tunafanya bila kungoja tukae na kubadilisha vifungu vya maandishi.

  Jamani mimi natoa wito kwa Watanzania wote kuamka na kufanya Mapinduzi ya Kizalendo kuikomboa nchi yetu mikononi mwa wanyang'anyi wa mali yetu.

  Napenda kuwakumbusha wanachi kwamba DOLA ni Wananchi na "Katiba",Vyombo vya Ulinzi na Usalama kama Majeshi likiwemo la Polisi lililouwa watu Arusha na Zanzibar ni Vyombo vya DOLA na DOLA ni WANANCHI kwanini tunaogopa vyombo vyetu?wewe unaweza kuogopa bakuli na sahani,kisu,jembe ambayo ni vyombo vyako mwenyewe?Shime wananchi tufanye Mapinduzi ya Kizalendo na tuwafukuze madarakani Watawala dharimu bila kujali Vyama vyao wala itikadi zao ikiwa hawatekelezi matakwa yetu sisi ambo ni DOLA

  Tuna haja gani ya kukaa majukwaani kujadili mabadiliko ya Katiba wakati tunaendelea kuangamia,tuamke tuseme sisi ndio Dola na hakuna haja ya kuomba kibali kwa vyombo vyetu wenyewe,kila mtanzania leo ajue sisi ndio DOLA yenyewe napenda kurudia tena sisi WANANCHI ndio Dola,sisi ndio DOLA Watanzania wenzangu,kwanini tunaogopa vyombo vya DOLA? Wakati Dola ni sisi Wananchi? Shime tufanye maandamano makubwa nchi nzima


  Tuamke sasa tuwaambie wanasiasa wote bila kujali ni Chedema au CCM au CUF tumechoka na maneno yenu.

  Saa imefika ya Mapinduzi ya Kizalendo ambapo hautangoja Miaka Mi 5 au 10 Kumwondoa mtu madarakani wakati tumemwona anafanya mengine ambayo hatukumtuma sisi,ATAONDOKA hata kama Katiba haisemi hivyo kwakuwa WANACHI ndio Dola yenyeweeeeeeeeee

  Shime wana jamii wenzangu,tuwaambie wanachi wote kwamba sisi ndio DOLA na kamwe tusiogope Vyombo vyetu kama Polisi,Jeshi na etc

  Natangaza kufanyika kwa MAANDAMANO MAKUBWA NCHI NZIMA siku ya tarehe 19 Jumosi ya Wiki ijayo,2011 kuishinikiza serikali iliyopo iondoke madarakani kama haitafanya yafuatayo:-

  1.Kukomesha mgawo wa Umeme haraka iwezekanavyo ndani ya siku 7

  2.Kushughulikia haraka matatizo ya Mikopo kwa wanafunzi wa Elimu ya Juu ikiwa ni pamoja Kuwaongezea Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya JUU posho ya Kujikimu kutoka TZS.5000 hadi TZS.15,000 kwa siku.

  3.Kutoa tamko kuhusu namna watavyolishughulikia tatizo la AJIRA kwa maelfu ya Vijana waliohitimu katika Vyuo mbalimbali

  4.Kuwakamata na kuwaweka ndani watuhumiwa wote wa Ufisadi kuanzia IPTL,Richmond,Dowans,Meremeta na EPA na wengine

  5.Kuwafukuza wawekezaji wote wanotuibia MADINI yetu kwenye Migodi yote nchi nzima ama lasivyo wanachi watavamia migodi yote kuanzia tarehe 19/02/2011

  6.Kushugulikia matatizo ya Walimu,wahadhiri wa Vyuo vya Elimu ya juu,kama ukosefu wa Nyumba,kutolipwa Posho na madai yao mbalimbali.

  7.Kuwakamata wezi wa Ruzuku za Pembejeo za Kilimo

  8.Kufufua usafiri wa Reli na Kurudisha VICHWA na MITAMBO ya shirika vilivyoibiwa na Wawekezaji wa TRL kutoka India

  9.Bunge livunjwe na kuitishwa uchaguzi mpya haraka sana ndani ya siku 90 kwakuwa kulikuwa na dosari NYINGI katika Uchaguzi uliopita

  10.Kuundwa kwa Taifa Jipya la TANGANYIKA baada ya mabadiliko ya katiba yaliyofanywa hivi karibuni yaliyounda serikali ya Umoja wa kitaifa Zanzibar ambayo yalimaanisaha pia kuzaliwa kwa ZANZIBAR huru.

  11.Kujiuzuru kwa waziri wa mambo ya ndani na mkuu wa jeshi la Polisi kwa kosa la kuhamasisha mauaji ya wananchi wasio na hatia Arusha.

  Mwl.Nyerere wakati wa uhai wake aliwahi kusema kwamba' "Wakati Taifa linapoingia katika matatizo,Jeshi ndio chombo pekee cha KIZALENDO ambacho kinaweza kuwasaidia wananchi" Sijui Uzalendo wenu uko wapi wanajeshi wetu?sisi wanachi tunawategemea na tunaomba muamke na na kutusaidia siku ya Tarehe 19/02/2011
   
 2. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #2
  Feb 12, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  naunga hoja mkono!
   
 3. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #3
  Feb 12, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  There are currently 2 users browsing this thread. (1 members and 1 guests)

  by the way, Cairo wamejitoa kafara watu 300+ kumng'oa dikteta, na jeshi lao lilikuwa kando wakiwa na vifaru, maji ya washa na mabomu ya machozi.

  swali: watanzania hawa, wanaoishi maisha ya afadhali ya jana, wakifagia barabara, wakiokota chupa, wakigonga kokoto, huku wamevaa skrepa za fulana na kofia za chagua CCM watalielewa kweli hili somo?

  Lazima tuchague pa kuanzia:
  Mapinduzi ya Egypt kwa asilimia kubwa yamefanikishwa na wananchi wa miji miwili mikubwa: Cairo na Alexandria.

  Tunayo na sisi mikoa yenye ma-hardliner: Mwanza, Musoma, Arusha, Mbeya, Rukwa.

  Tukianzia Pwani hatutafanikiwa.
   
 4. M

  Mchekechoni JF-Expert Member

  #4
  Feb 12, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 280
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tuanzie MWANZA na ARUSHA!
   
 5. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #5
  Feb 12, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,833
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  dar es salaam isiachwe nyuma kwenye ukombozi huu...
   
 6. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #6
  Feb 12, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Shinyanga nayo jamani, nilikuwepo juzi wamashy hawataki kusikia ccm wala mbunge wao akitua shy.
   
 7. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #7
  Feb 12, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Anzieni Bukoba aiseeeeeeeeeeee
   
 8. L

  LAT JF-Expert Member

  #8
  Feb 12, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mapinduzi ya nguvu ya umma hayafanywi na mabandiko humu JF kirahisi rahisi kama hivi.... hawa jamaa zetu wamo humu JF twenty four seven..... ratibu hili zoezi to the highest level of secrecy and taking into cosideration the current threat level
   
 9. Ngomo

  Ngomo Senior Member

  #9
  Feb 12, 2011
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 199
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  naunga mkono hoja kama wao wameweza kwanini sisi tushindwe
   
 10. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #10
  Feb 12, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,633
  Likes Received: 905
  Trophy Points: 280
  Raisi wetu ni mwoga sana, tukiandamana siku 7 mfulilizo atakuwa ameenda sijui wapi.

  Juzi juzi wakati anaenda Monduli hakupita Arusha mjini kwa ving'ora kama raisi. Alipita kimya kimya kwa VX tinted gari la Jeshi likiwa mbele
   
 11. THE GAME

  THE GAME JF-Expert Member

  #11
  Feb 12, 2011
  Joined: May 30, 2010
  Messages: 441
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  wa tz walio wengi ni waoga na huu ndio udhaifu pekee unao tusababishia haya yote,jamani tuweke woga kando tuuvae utaifa tuokoe nchi kama wenzetu walivyofanya.
   
 12. Mbaha

  Mbaha JF-Expert Member

  #12
  Feb 12, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 697
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Now we are talking!!!!!... Njia pekee kwa sasa ya kurekebisha mambo ni hiyo.... Na wakati ni huu kabla vuguvugu la mapinduzi katika bara hili halijapoa. Brothers and sisters, it's now... or never!!
   
 13. Kinyambiss

  Kinyambiss JF-Expert Member

  #13
  Feb 12, 2011
  Joined: Dec 2, 2007
  Messages: 1,372
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Tanzania haihitaji mapinduzi. Kinachotakiwa ni kuibana serikali sasa hivi kwakuwa iko katika hali ya udhaifu katika maeneo flani flani ya kielimu, kiuchumu, rushwa, na kadhalika. Kwa kuwa haya yote pamoja na a free and fair democratic system ndio matakwa ya watanzania, basi tupate katiba mpya ambayo lazima ilinde haki ya mtanzania na kumpa nguvu juu ya kusimamia viongozi wake 'right of recall' independent electoral commission (not appointed by presidential at his pleasure), and all the relevant laws that would ensure rights and duties of citizens n government are clearly stated and enforced.

  At the moment, the opposition despite much bickering and in-fighting has an unprecedented potential energy in the form of people's consensus and support. I believe that this momentum should not be reversed nor the opportunity wasted, making sure a new fair and level playing field will replace the current system politically, and economically the constitution should promote and protect the necessary rights and duties that the future development of our economy. An example of state which has adequately engraved economic system change in its constitution and subsequent legal reform is China (1981), the result...oneni walipo...!

  Kwahiyo kimsingi, sidhani kama Tanzania inahitaji hali ya machafuko, itaturudisha nyuma kiuchumi, lakini vile vile muamko na chachu iliyopo katika jamii hii kwa ujumla wake isidharauliwe au kunyamazishwa bali itumiwe kuchora ramani ya tunapokwenda na kuweka misingi ya haki na maendeleo ila vilevile, kama mchangiaji mmoja hapo juu ametumia mfano wa mvunja kokoto alievaa fulana ya chagua ccm iliyoraruka ataelewa kwenda kupigwa risasi? Na jee nidhamu na msimamo wa jeshi la misri vitaweza kuonyeshwa na jeshi la Tanzania. Kwasababu isije kuwa Tienamen Sqr 1989!!

  As a student of socia anthropology, history and comparative constitutional law, I have come to find that positive change results from the will of the people and their actions (pioneered by both the masses and or their leaders). In the case of revolutions, stability and progress are ney the result but rather change. So we must ask ourselves, do we want just change or do we want positive change? Radical politics destabilizes and takes a long time usually in the order of 5 decades to several centuries to fix. The French revolution, the Bolsheviks, and many more usually create a power void where someones usurps the overthrown's authority. Even in Egypt today, one analyst put it today: that the people of Egpyt shall truly be free is yet to be seen because the power now vests with the Military high command and they are long-time beneficiaries of the current regime and status quo socio-economic paradigm. Will they act in favour of democracy and free and fair opening up of a political and economic system to their own detriment? It may be so as they have promised, but Napoleon and Hitler too made promises. Power is a self-preserving mechanism.

  Kwahiyo ndugu zanguni, naombeni tutafute suluhu ya matatizo yetu kwa kuendshwa na uchungu tulionao lakini kwa utaratibu makini utakaopelekea Tanzania kuwa mfano katika Africa na kuinua hali ya mtanzania mwenyewe. Hayo mapinduzi ya kupindua serikali tuwaachie wengine, au la basi tujaribu kutumia njia hii kwanza kuokoa vifo na uharibifu wa kiuchumi na amani kwa ujumla.

  KK
  Currently a Researcher in Comparative Constitutional law and Regional Integration.
   
 14. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #14
  Feb 12, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Mapinduzi ya kizalendo au nguvu za umma ,msione kuwa vitu hivi vinazuka tu kama bahati nzuri au mbaya ,haya mambo yanapangwa na huwa na outcomes tofauti ,kwani yanapopangwa huwepo kwenye majaribio,katika hayo majaribio ndio panapotokea moja kati ya majaribio hayo kuwa ni endelezo lisilozimika na lenye kuongeza idadi ya wahudhuriaji.

  Hapa ikumbukwe ni lazima pawepo na maorganizer ,hawa ndio huwa chimbuko la mass peoples power,vile vile kunakuwepo na mipango ya kuwepo kwa huduma muhimu ,huduma hizo ziwe zinapatikana kwa urahisi na njia ya kuzipata haziwezi kuwa blocked ,hivyo sehemu itakayokuwa ndio center iwe ipo free na yenye kona nyingi sana.Huduma za vyoo ,huduma za first aid madawa na kadhalika.

  Ukiangalia Misri waliweza kutekeleza yote hayo na walifanikiwa hadi Mubaraka alipoamia kuikimbia Ikulu, kwa hiyo kumobilize harakati hizi pia kunahitaji elimu ,Walioandaa mapinduzi ya kizalendo walipata elimu kutoka nchi za Scandinavia na walipatiwa CD inayotoa mafunzo kwa kifupi na ndio waliyotumia hadi kuiondoa serikali iliyodumu kwa muda wa zaidi ya miaka selasini.
   
 15. malkiory

  malkiory JF-Expert Member

  #15
  Feb 12, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 272
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nakuunga mkono kwa asilimia mia moja. Uchambuzi na wazo makini. Kila chenye mwanzo hakikosi kuwa na mwisho. CCM inalaniwe kwa jina la Alah.
   
 16. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #16
  Feb 12, 2011
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  wauzieni chadema hiyo fikra


  ila mkifanya mwisho chumbe
   
 17. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #17
  Feb 12, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,278
  Trophy Points: 280
  Mkuu haujafanya utafiti wa kutosha Dar es salaam ndio mji unaoongoza kwa kuwa na wajinga wengi ukifuatiwa kwa karibu na morogoro.
   
 18. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #18
  Feb 12, 2011
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Naunga mkono hoja, ila iwe kweli.
   
 19. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #19
  Feb 12, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Siu kwetu Ubungo, labda kwingineko, wacha upuuzi wako wa kutujumuisha na wajianga.
   
 20. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #20
  Feb 12, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,278
  Trophy Points: 280
  Nimetoka kwenye thread yako sasa hivi na nilikueleza kule ni utoto ndio unakusumbuwa, read between the line na sio ukurupuke kujibu usichokijuwa, labda ningesema Dar es salaam wote ni wajinga ungekuwa na haki ya kuniita mpuuzi sababu hata mimi niko Dar, jifunze kwanza kusoma na kuelewa ndio uchangie, mimi nilianza kuingia JF mwaka 2006 lakini nimekuja kujiregister mwaka jana.
  labda ni kuulize tu ni mji gani mpaka leo watu wanaliwa pesa kwa kucheza karata tatu?
   
Loading...