Wito wa Dharura wa Zitto Kabwe kwa Benjamin Mkapa, Jakaya Kikwete, John Malechela, Cleopa David Msuya, na Viogozi wote wakuu wastaafu

Mambo yanazidi kunoga!!

Binafsi ninahakika tamko la hawa wazee litapunguza kiburi cha bwana yule na huenda kibarua cha yule mropokaji kikaota majani au kikafifia kwa muda.

Watu wakitoa uoga,huyu mtu ni mwepesi sana.

Tamko la wale wazee,bwana yule hakulitarajia, bali alitaraji kuwaona wakikaa kimya kama wengine waliochafuliwa na yule mtu anaejiita mwanaharakati huru.
 
Naungana na Zitto Kabwe kuwataka viongozi wetu wakuu wastaafu wajitokeze waiiponye hii nchi, sasa hivi huku inakoelekea ni shimoni kabisa no direction ya amani na matumaini.

Nyinyi pamoja na kwamba ni wastaafu lakini bado ni sehemu ya collective responsibility ya leadership ya nchi hii.
Nchi hii haiwezi kuwasamehe kama mambo yakienda mrama halafu nyinyi mmekaa kimya
Hamuwezi kujiweka pembeni kama watazamaji wakati nyinyi ni sehemu ya waliofanya maamuzi kwenye vikao vilivyopita ndani ya chama na serikali hata leo hii tukawa na hali hii, kwa hiyo mnayodhima ya kusimama sasa na kuhakikisha hii nchi inakuwa salama!.
Mwalimu Nyerere hakukaa kimya alipoona mambo yanakwenda mrama, kwa nini nyinyi mkae kimya?
Leo hii haki za wananchi zinaminywa, hali ya taharuki watu wanatekwa, wanapotea inakuwaje mnakaa kimya?
Huu siyo muda wa party politics na kulindana, hapa kuna maslahi makubwa ya Taifa, wekeni uCCM pembeni maana hii nchi ni yetu sote!.
Vipi mkae kimya kama wapinzani wanaonewa, wananyanyaswa kisha mkafumba macho as if haiwahusu?- THIS IS WRONG!

Nachukua Nafasi hii kumpongeza Mzee Kinana, Mzee Makamba na hata Bernard Membe, wamesimama kidete katika muda ambao taifa linawahitaji wasimame japo wmechelewa lakini ni bora walivyofanya!

TUNANGOJA SAUTI KUTOKA KWENU, KAMA NYERERE ALIITISHA PRESS CONFERENCE NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI NA NYIE TUNATAKA TUWASIKIE LIVE MKIZUNGUMZA MAMBO YA KITAIFA!.
 
Nachukua Nafasi hii kumpongeza Mzee Kinana, Mzee Makamba na hata Bernard Membe, wamesimama kidete katika muda ambao taifa linawahitaji wasimame kidete!

Siasa haziendi hivyo
 
Huwezi kuanzisha ugomvi katikati uanze kuhitaji msamaha na support!!

Mamluki walioshiriki huu uhuni walitajwa kwamba hao wanaojiita makatibu wakuu wastaafu waliwaomba ushauri kwao, Mh Rais awe na moyo wa nyama lakini kama clip hizo na matusi hayo ni kauli zao clearly TREASONOUS ACT have been committed
 
Kwa maneno haya ya Zitto Kabwe

"Nchi inakwenda kutumbukizwa kwenye hali ya hatari na utawala wa Raisi John Pombe Magufuli"

yanatosha kabisa kumkamata na kumuweka kizuizini kwa uchochezi

Akitokea kwamwe
 
Hii nchi imejaa vituko, naona wazee sasa wanapewa heshima zote! Wakiwaita tena wapumbavu, malofa msije kulialia! Hii heshima iendelee wala tusichague tuwape heshima nyakati zipi!

Mwinyi alioga matusi yote enzi zake ila sasa ana heshima zote, Mkapa alisemwa zaidi alipoondoka madarakani na kuibua kila baya lake maana enzi zake haikuwa rahisi kumsema ovyo lakini sasa ana heshima zote, Kikwete ndio alitia fora kwa kutukanwa lakini leo ni mkombozi tegemeo!

Kwani huyu JPM amefanya kosa lipi kubwa ambalo awamu zilizopita hazijafanya? Mtamkumbuka tu mbeleni! Historia ni mwalimu mzuri na kibashiri muafaka!

Bila kuachana na mambo ya CCM na wapinzani kujipanga wenyewe kwa sera na hoja zao mbadala mabadiliko hayotokuja na yakija ni kubadili chama lakini watu ni wale wale, fikra zile zile na watafanya yale yale! Anyways tuendelee na soga zetu za huku mitandaoni!
 
Mambo yanazidi kunoga!!

Binafsi ninahakika tamko la hawa wazee litapunguza kiburi cha Jiwe na huenda kibarua cha yule mropokaji kikaota majani au kikafifia kwa muda.

Watu wakitoa uoga,Jiwe ni mwepesi sana.

Tamko la wale wazee, Jiwe hakulitarajia, bali alitaraji kuwaona wakikaa kimya kama wengine waliochafuliwa na yule mtu anaejiita mwanaharakati huru.
Utafikiri umemaanisha !!

Utopianism ni hatari
 
Naungana na Zitto Kabwe kuwataka viongozi wetu wakuu wastaafu wajitokeze waiiponye hii nchi, sasa hivi huku inakoelekea ni shimoni kabisa no direction ya amani na matumaini.

Nyinyi pamoja na kwamba ni wastaafu lakini bado ni sehemu ya collective responsibility ya leadership ya nchi hii.
Nchi hii haiwezi kuwasamehe kama mambo yakienda mrama halafu nyinyi mmekaa kimya
Hamuwezi kujiweka pembeni kama watazamaji wakati nyinyi ni sehemu ya waliofanya maamuzi kwenye vikao vilivyopita ndani ya chama na serikali hata leo hii tukawa na hali hii, kwa hiyo mnayodhima ya kusimama sasa na kuhakikisha hii nchi inakuwa salama!.
Mwalimu Nyerere hakukaa kimya alipoona mambo yanakwenda mrama, kwa nini nyinyi mkae kimya?
Leo hii haki za wananchi zinaminywa, hali ya taharuki watu wanatekwa, wanapotea inakuwaje mnakaa kimya?
Huu siyo muda wa party politics na kulindana, hapa kuna maslahi makubwa ya Taifa, wekeni uCCM pembeni maana hii nchi ni yetu sote!.
Vipi mkae kimya kama wapinzani wanaonewa, wananyanyaswa kisha mkafumba macho as if haiwahusu?- THIS IS WRONG!

Nachukua Nafasi hii kumpongeza Mzee Kinana, Mzee Makamba na hata Bernard Membe, wamesimama kidete katika muda ambao taifa linawahitaji wasimame japo wmechelewa lakini ni bora walivyofanya!

TUNANGOJA SAUTI KUTOKA KWENU, KAMA NYERERE ALIITISHA PRESS CONFERENCE NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI NA NYIE TUNATAKA TUWASIKIE LIVE MKIZUNGUMZA MAMBO YA KITAIFA!.
Umeandika bila kuwaza na kuwazua!!

Ccm ishapata changsmoto ya kubwa zaidi ya hii na hao hao mnaofikiria wameiishi lakn ccm ilivuka!! Unamfaham Lyatonga Mrema??? Je umesahau 2015?

Hakuna lolote hapo na huu mgogoro unakiimarisha chama kaa ukijua hivyo vyams vya wachumia tumbo ndo wame concentrate kwenye kushadadia yasiyowahusu mwisho 2019/2020 itawadia mnaendeleza huruma ,

Nonsense!!
 
Hii nchi imejaa vituko, naona wazee sasa wanapewa heshima zote! Wakiwaita tena wapumbavu, malofa msije kulialia! Hii heshima iendelee wala tusichague tuwape heshima nyakati zipi!

Mwinyi alioga matusi yote enzi zake ila sasa ana heshima zote, Mkapa alisemwa zaidi alipoondoka madarakani na kuibua kila baya lake maana enzi zake haikuwa rahisi kumsema ovyo lakini sasa ana heshima zote, Kikwete ndio alitia fora kwa kutukanwa lakini leo ni mkombozi tegemeo!

Kwani huyu JPM amefanya kosa lipi kubwa ambalo awamu zilizopita hazijafanya? Mtamkumbuka tu mbeleni! Historia ni mwalimu mzuri na kibashiri muafaka!

Bila kuachana na mambo ya CCM na wapinzani kujipanga wenyewe kwa sera na hoja zao mbadala mabadiliko hayotokuja na yakija ni kubadili chama lakini watu ni wale wale, fikra zile zile na watafanya yale yale! Anyways tuendelee na soga zetu za huku mitandaoni!

Viwango vya utekaji watu na watu kupotea vimekithiri zaidi awamu hii kuliko awamu zote zilizopita
Pia wananchi kunyang'anywa korosho zao haijawahi kutokea tangu tupate uhuru
Kama una rekodi za mambo hayo kwa serikali zilizopita kulinganisha na sasa hebu tuwekee hapa mkuu
 
Umeandika bila kuwaza na kuwazua!!

Ccm ishapata changsmoto ya kubwa zaidi ya hii na hao hao mnaofikiria wameiishi lakn ccm ilivuka!! Unamfaham Lyatonga Mrema??? Je umesahau 2015?

Hakuna lolote hapo na huu mgogoro unakiimarisha chama kaa ukijua hivyo vyams vya wachumia tumbo ndo wame concentrate kwenye kushadadia yasiyowahusu mwisho 2019/2020 itawadia mnaendeleza huruma ,

Nonsense!!
Unaishi kwa mazoea!!!!!!!!!!!!!
 
Kipindi cha Mrema hakukuwa na utekaji watu na kupotea kwa kiwango cha sasa
Na pia wakulima hawakunyang'anywa korosho zao kwa nguvu
Kama una taarifa za kuwepo mambo kama hayo katika serikali zilizopita tuwekee rekodi zake mkuu tujikumbushe
Nchi inahitaji amani , kuna viashiria vya kupotea amani, haikuwa hivyo kipindi cha mrema
 
Hii nchi imejaa vituko, naona wazee sasa wanapewa heshima zote! Wakiwaita tena wapumbavu, malofa msije kulialia! Hii heshima iendelee wala tusichague tuwape heshima nyakati zipi!

Mwinyi alioga matusi yote enzi zake ila sasa ana heshima zote, Mkapa alisemwa zaidi alipoondoka madarakani na kuibua kila baya lake maana enzi zake haikuwa rahisi kumsema ovyo lakini sasa ana heshima zote, Kikwete ndio alitia fora kwa kutukanwa lakini leo ni mkombozi tegemeo!

Kwani huyu JPM amefanya kosa lipi kubwa ambalo awamu zilizopita hazijafanya? Mtamkumbuka tu mbeleni! Historia ni mwalimu mzuri na kibashiri muafaka!

Bila kuachana na mambo ya CCM na wapinzani kujipanga wenyewe kwa sera na hoja zao mbadala mabadiliko hayotokuja na yakija ni kubadili chama lakini watu ni wale wale, fikra zile zile na watafanya yale yale! Anyways tuendelee na soga zetu za huku mitandaoni!
Dogo umepitwa na wakati
 
Back
Top Bottom