Wito wa Bunge: Tuilaani serikali hii! Tuanze na nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wito wa Bunge: Tuilaani serikali hii! Tuanze na nani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Siao, Jun 23, 2009.

 1. S

  Siao Member

  #1
  Jun 23, 2009
  Joined: Jan 4, 2008
  Messages: 96
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama wabunge wanaona Serikali inapaswa kulaaniwa, basi walishalaaniwa siku nyingi...au imeonewa?
  Hata hivyo laana isiyokuwa na sababu haimfiki mtu?

  Labda tujadi pia hapa kidogo kuwa ni kosa gani hilo viongozi wamefanya mpaka wafikie kulaaniwa? Tukiongea tu kugeneralize mikataba mibovu naona tumefanya hivyo urefu bila kufikia lengo, Naona tukitaja moja kwa moja ujumbe unawafika.

  Hata hivyo naona ile serikali ya muheshimiwa imetuuza moja kwa moja. Best naona upeo pia nimdogo, hivyo kila kitu ni kigumu.

  Ikiwa urais ni kama anavyofanya, nifikiria mimi naweza kuwa katibu wa UN, kwani hata yeye huyo wa UN ni nini kikubwa anafanya.

  Utashindwaje kusema Ticks sasa basi, nani sasa atasema? utashindwaje kusema wewe waziri sasa basi? si ndio kazi hiyo jamani? au..! nisaidieni tu kwa upole hapa, kam nimeshindwa kuvumilia nina hasira.

  Haya sasa mawaziri wanalaaniwa, wakisiema sio wao wamesababisha, itamwangukia nani?

  Tunapoanza kulaani kama ulivyo wito wa bunge tuanze nani?
   
Loading...