Alexism
JF-Expert Member
- Aug 14, 2011
- 3,423
- 2,046
Nianze kwa salaam,habari zenu wanajamvi.
Bila shaka sio kawaida ila basi twende hivyo hivyo.
Leo hii nataka nitete na vijana wa upande wa upinzani yaani wafuasi,wapenzi na wanachama wa vyama vya upinzani. Katika maisha yetu kila mmoja anatafuta maisha mazuri ambayo utumika kama kipimo cha mafanikio maishani.
Leo hii katika mfumo wa vyama vingi Africa na Tanzania kwa ujumla kuna ushindani pia wa kufanikiwa kupitia nyanja ya siasa. Sasa kama wewe kweli ulienda shule na unataka kufanikiwa maishani acha kupoteza muda kwa kuwa mfuasi wa vyama vya upinzani maana huko utachelewa kabisa kuyaona au kutoyaona matunda ya elimu yako au siasa.
Mifano ni mingi sana vijana wenzangu kwa wale waliopo upinzani na wale waliopo chama tawala mfano CCM hapa nchini Tanzania.
Bila shaka vijana ni wakati wenu kufanya hivyo ili kuweza kufanikiwa na bila kufanya hivyo basi utakuwa umekubali kuishi maisha duni na yenye msongo wa mawazo.
Vijana badirikeni kabisa njooni CCM maana kuwa CCM ni fursa ya kutoka kimaisha na sio huko upinzani maisha yenye stress na kujichelewesha mafanikio yako.