Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,482
- 9,517
- Thread starter
- #101
Mama gfsonwin anatambua kila kitu kama na huyo babu Asprin unamsingizia sababu yeye alitupongeza kwa kutoa picha nachujua wewe ndo una hasira kali na unapakaza kwa wengine lakini Mungu yupo upande wangu.Maneno matano ya mstari wa 3 toka mwisho kwenye mada uliyoandika Baba V yamejieleza vizuri sana ,sasa basi kuanzia ulipotoa hii mada swala kwamba sijulikani lilifungwa na atakezungumza atajua mwenyewe pa kutoa majibu.
Unajua tunafanya hivi kwa mapenzi mema tu, isitokee kesho unalia umenyang'anywa mume afu hujui pa kuanzia! ohoo