Elections 2010 Wito: Uchaguzi tz bara urudiwe ndani ya siku 90 chini ya usimamizi wa un

Bantugbro

JF-Expert Member
Feb 22, 2009
4,476
4,250
WITO:
Kwa jinsi chama tawala kilivyotumia nguvu za dola kugandamiza wananchi kwa kulazimisha matokeo watakayo wao. Na kwa jinsi hali ya usalama wa nchi inavyoendelea kutetereka kila kukicha. Na kwa jinsi wananchi wasivyokuwa na imani na utawala uliopo na unaong'anga'nia madaraka;

hali tete iliyopo inaweza kutupeleka katika vita ya wenyewe kwa wenyewe wakati wowote, nchi nyingine huwa wananchi waliochoka wanaanzisha vita hata kwa mambo madogo zaidi ya hili la uchaguzi;

iwapo Mkwere akiendelea kung'ang'ania ushindi wa chama chake na viongozi wa upinzani wakitoa tamko kwa wananchi kuwa tukatae kutawaliwa hivi patakalika hapa??;

Mkwere ataendaje Mbeya, Mwanza, Kigoma, Arusha, Moshi, Sumbawanga, Shinyanga, Temeke, Songea na kwa utaratibu gani na ulinzi wa aina gani (Sheikh Yahya maybe), ikukmbukwe pia alishawahi kupigwa mawe huko MBY kwa jambo dogo zaidi ya hili...;

ni siri iliyo wazi kuwa hataweza kutawala nji hii tena bila matumizi ya nguvu.....

Ili kuepusha shari: Kuna umuhimu wa uchaguzi wa Tanzania bara kurudiwa ndani ya siku 90 chini ya uangalizi wa kimataifa na jeshi la UN. Hatutaki tena NEC, wala Mwema.
:A S cry:
 
Mimi nilishasema hatamaliza miaka mi5.

Please wait and see
 
Inabidi kila Mtanzania atamke mbele za Mungu kuwa hatumtaki Kikwete na amwondoe kwa jinsi yoyote.
 
NON SENSE....
toa mada yako iyo isiyokua na kichwa wala miguu
 
kwa matokeo haya yana uraisi..... hata urejewe uchaguzi mara 1,000,000 JAY KEY atashinda

unajua mpaka muda huu (1215am) ana kura ngapi? acha tu!
 
unakurupuka kujibu utafikiri kinana wa ccm...
hivi unajua hatua za kufanya uchaguzi kurudiwa???

We umeshaambiwa ujibu hoja!!

dwight said:
So mnataka nani awe raisi!

Uchaguzi ungekuwa HURU na wa HAKI:
kusingekuwa na haja ya kuchelewesha matokeo na kuyatangaza usiku wakati wananchi wameshalala,
kusingekuwa na haja kwa wagombea wa chama tawala kuficha masanduku, mihuri pamoja, na fomu za matokeo (KUCHAKACHUA),
kusingekuwa na haja ya kuwapiga kwa mabomu wananchi wanaosubiri matokeo yao. kumbuka kura zilipigwa kwa amani kwanini issue ya matokeo iwe tabu?

Ni wazi kuwa utawala uliopo madarakani umejiingiza mtegoni!! toka mwanzo ilijulikana kuwa NEC sio HURU lakini wananchi bado wakawa na imani kuwa Mkwere atatumia busara kuendesha uchaguzi ulio HURU na HAKI lakini uroho wake wa madaraka na pia kushindwa kuwa-control vibaraka wake ndio kumemponza!

Kujibu swali lako la So mnataka nani awe Rais?: Tunataka Rais aliyechaguliwa kwa HAKI na KIHALALI no matter awe ametoka CCM, CUF, UDP, TLP, NCCR au CHADEMA, na tukimpata huyo basi siku ya kuapishwa wote tutafurahi na tutamkaribisha kwa mikono yote huko kwetu Mwanza, Shinyanga, Arusha, Temake, Mbeya, Kigoma, Shinyanga, Sumbawanga, Kilombero, Songea na kwingineko.
 
We umeshaambiwa ujibu hoja!!

Uchaguzi ungekuwa HURU na wa HAKI:
kusingekuwa na haja ya kuchelewesha matokeo na kuyatangaza usiku wakati wananchi wameshalala,
kusingekuwa na haja kwa wagombea wa chama tawala kuficha masanduku, mihuri pamoja, na fomu za matokeo (KUCHAKACHUA),
kusingekuwa na haja ya kuwapiga kwa mabomu wananchi wanaosubiri matokeo yao. kumbuka kura zilipigwa kwa amani kwanini issue ya matokeo iwe tabu?

Ni wazi kuwa utawala uliopo madarakani umejiingiza mtegoni!! toka mwanzo ilijulikana kuwa NEC sio HURU lakini wananchi bado wakawa na imani kuwa Mkwere atatumia busara kuendesha uchaguzi ulio HURU na HAKI lakini uroho wake wa madaraka na pia kushindwa kuwa-control vibaraka wake ndio kumemponza!

KUJIBU HOJA KWANI TUPO BUNGENI???
MANA KENYA WENYEWE HAWAKURUDIA UJE URUDIE WEWE AMBAE UCHAGUZI UNAONEKANA NI ZAIDI YA FAIR AND TRUE, JAPO KUNA UCHAQKACHUAJI
 
Hiyo ndio hoja yako!!!
Nashukuru uwewe umekiri kuwa uchakachuaji upo! na pia----->
Unayakumbuka ya Kenya! sasa ndugu zako wakikataa---->
Basi tusubiri basi UN wamlete Kofi Anan na Ocampo!:rip:
 
Mungu anajibu maombi na hata siku moja haki ya mtu haiwezi kupotea.Kama amelazimisha kuingia ikulu basi hataweza kutawala miaka mitano.Hawezi kushindana na Mungu hata siku moja.If God says no, then no one can Yes.Just wait and see
 
hili ni janvi huru, PAS, huwezi kumwambia mtu aondoe mada yake. Be responsible, andika ya kwako! Hebu mtake radhi Bantu.
 
Back
Top Bottom