Bantugbro
JF-Expert Member
- Feb 22, 2009
- 4,476
- 4,250
WITO:
Kwa jinsi chama tawala kilivyotumia nguvu za dola kugandamiza wananchi kwa kulazimisha matokeo watakayo wao. Na kwa jinsi hali ya usalama wa nchi inavyoendelea kutetereka kila kukicha. Na kwa jinsi wananchi wasivyokuwa na imani na utawala uliopo na unaong'anga'nia madaraka;
hali tete iliyopo inaweza kutupeleka katika vita ya wenyewe kwa wenyewe wakati wowote, nchi nyingine huwa wananchi waliochoka wanaanzisha vita hata kwa mambo madogo zaidi ya hili la uchaguzi;
iwapo Mkwere akiendelea kung'ang'ania ushindi wa chama chake na viongozi wa upinzani wakitoa tamko kwa wananchi kuwa tukatae kutawaliwa hivi patakalika hapa??;
Mkwere ataendaje Mbeya, Mwanza, Kigoma, Arusha, Moshi, Sumbawanga, Shinyanga, Temeke, Songea na kwa utaratibu gani na ulinzi wa aina gani (Sheikh Yahya maybe), ikukmbukwe pia alishawahi kupigwa mawe huko MBY kwa jambo dogo zaidi ya hili...;
ni siri iliyo wazi kuwa hataweza kutawala nji hii tena bila matumizi ya nguvu.....
Ili kuepusha shari: Kuna umuhimu wa uchaguzi wa Tanzania bara kurudiwa ndani ya siku 90 chini ya uangalizi wa kimataifa na jeshi la UN. Hatutaki tena NEC, wala Mwema.:A S cry: