Sijawahi safiri na hizi ndege ila naanza rasmi sasa :love::love::love:
Kumbe ni ndege nzuri kiasi hiki, nilikuwa nazikwepa nikijua nitakutana na wanaojilipua huko, kumbe wenyewe wastaarabu, naanza rasmi pia. Karibuni wote
Sijawahi safiri na hizi ndege ila naanza rasmi sasa :love::love::love:
Nasikia pia kuna baadhi ya waislam wamesusia kunywa Coca Cola na maji ya Kilimanjaro sababu zinazalishwa na kafri, wanakunywa Pepsi na maji ya Azam!
emirates na qatar kwa tarifa zenu sio rahisi kama mnavodhani. Kwa mashirika yanayokuja haoa bongo wao wako juu zaidi...oman air, kenya airways, eithopia , air eygpt na air turkey wako chini sana ukilinganisha na emirates na qatar...emirates huwa wanapunguza wakati kwao ni joto hakukaliki na inabaki usd 750.!!!!!!! Wakati oman ni usd 550. Tu...nafikiri mtoa mada hafahamu analoongea amekurupuka. The future sasa hivi ni emirates, hakuna shirika lolote la ndege hivi sasa ulimwenguni ambalo ni kubwa haliweweseki kutokana na mbinu za emirates. Kwa taarifa yako shirika hili limeingiza ndege mpya mwaka huu 30+ ku-add up fleet yao ambayo tayari ina ndege 80 + siongelei ndege ambazo watanzania wengi wanazifahamu naongelea new planes za uhakika sio mitumba ya ndege.
emirates wataendelea kutoa huduma za nauli rahisi kuliko shirika lolote hata kama watanzania wote wanaosafiri watasusia ndege zao, vile vile lazima ujue jamaa wamejiandaa hivi sasa wanakwenda kila kona ya ulimwengu via dubai.
cha kusikitisha sisi tanzania tumewapa more rights kuja kutua kwetu wakati hatuna ndege za kwenda kutua kwao, tumewakumbatia mafisadi wetu hapa nyumbani ambao wanajitajirisha wao na makuwadi wao wa nje. Wanaua kila kitu ambacho taifa hili lingetegemea katika kuona maisha ya wananchi wake yanakuwa bora.
Kumbe ni ndege nzuri kiasi hiki, nilikuwa nazikwepa nikijua nitakutana na wanaojilipua huko, kumbe wenyewe wastaarabu, naanza rasmi pia. Karibuni wote
emirates na qatar kwa tarifa zenu sio rahisi kama mnavodhani. Kwa mashirika yanayokuja haoa bongo wao wako juu zaidi...oman air, kenya airways, eithopia , air eygpt na air turkey wako chini sana ukilinganisha na emirates na qatar...emirates huwa wanapunguza wakati kwao ni joto hakukaliki na inabaki usd 750.!!!!!!! Wakati oman ni usd 550. Tu...
Na ni ukweli kwamba emirate ndio shirika ghali zaidi kwa yote yanayokuja bongo......................................................................................................
........................................................
Issue hapa ni mataifa ya magharibi kuipiga nchi huru...na kuwasaidia insurgents ammabo wenyewe walikua ni inner circle wa gadhafi...huwezi kujenga demokrasia ya kweli kwa mtutu wa bunduki na kusaidiwa na mataifa yanayojali maslahi yao zaidi.....utamuandoa dictator na kumuweka puppet...
Pia suala la misada ama hatuchukii mafisadi wa kwetu.....hio ni issue nyengine..naamini kwa dhati kabisa watanzania wengi hawapendi ufisadi katika nchi yao..tanzania sio nchi ya kusadikika ila tumo katika jumuia ya kimataifa hivo kuonesha kukerwa kwa uonevu unapotekea katika nchi nyengine ni wajibu wetu kama sehemu ya umma wa walimwengu.....na huu ndio msimamo wetu ...tulikaa na njaa , tukafunga mikanda, tukaweka makambi ya wapigania uhru hapa...ili kuona wenzetu wa kusini ya afrika wako huru.....na sio pekee yetu...hata libya ilifanya hivo kwa mali na hali......ndio maana nelson mandela alikua mtu wa mwanzo kuwaambia usa atakwenda libya tena kwa ndege (libya waliekewa vikwazo vya no flying zone ) ...na aliwaabia marekani hawawezi kumchagulia rafiki...gadhafi ni rafiki yake.....na anajua wao marekani walikua upande ganiwakati yeye anasota jela!!!!!
Iko siku siku tusipokua na msimamo tutakua katika matatizo na kama taifa hakuna wa kutufikiria...
Castro alisema wiki moja tu baada ya machafuko kuanza libya mwezi wa february " marekani na washirika wake wana moango wa kuipiga na kuikalia libya"....kweli imetokea.
Kwa hio wito wangu bado ni kususia .......kwanini nchi hizi?? Kwasababu wao wanatumiwa tu........
Tena ajabu ni kwamba wana''serve '' ulevi mwingi na vileo vya aina nyingi na vikali kuliko mashirika ya kimagharibi
hahaha! si umwambie tu kuwa zile si ndege ni "FUSO!"Wewe unayesema watu wapande Ethiopian Airlines utakuwa hujawahi kutumia ilo shirika, na kwa nchi kama Tanzania ambayo kila leo mashirika yanapunguza safari zao tukisusia si ndio itakuwa mwanzo wa kuanza kupandia ndege Nairobi au Johannesburg.
Kulikuwa na call ya kususia bidhaa na huduma zinazotoka kwa mafisadi baadhi yetu tukawaita hao waungwana sio wazalendo and blah blah!!
DO KEEP YOUR NEGATIVE ATTITUDES AS LOCAL AS POSSIBLE AS WE SEEK TO
PORTRAY THE BEST OUT OF TANZANIA TO THE WORLD
When you talked of a possible boycot to help bring down these cross-national carriers, I fast thought of how many jobs are likely to be lost is the global economy were to contract people of your 'Jupiter Trademark of Minds' to advise it. I thought of thousnds of dollars being paid by these flight companies say for the entire floor at Haidery Plaza, Tanzanians serving in there and at other branch offices worldwide, advertisement fees they pay us, facilitation of trade flows with and for Tanzania.
These are just but a few to mention apart from my guess on how you would on every other day be cheering in a half-mad agitation whenever the European Premier League is on courtesy of some of these carrier companies. By the way if you could equally share with us how old you are, how travelled, schools then possibly some parallels this respectful Jamii Forum could so smartly have drawn some conclusions out of it all!!!!
Yes, if your answer is yes then my best and most humble advise for you is to try to keep as local as possible this kind of most wanting attitude at our other Jamii Forum departments without necessarily trying to force this kind of 'unrepresentative' face to stand out for our beloved country Tanzania at the JF International Forum that is equally frequented by readers other countries that has always been holding much respect and admiration on our kind take of others on issues of international significance like the one that you just raised.