Wito RC Kilimanjaro, Waziri wa Kilimo na Waziri wa Mifugo, Kufuatia Umuhimu wa Chakula, Baada ya Mungu na Pumzi ya Uhai, P'se Mpitisheni Uwanja Pasua

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
39,815
2,000
Wanabodi,
Japo JF ni an open public forum kwa wote, mtu ukiwa na ujumbe wako fulani ambao ni muhimu, unataka kumfikishia mlengwa au walengwa fulani, ukiutuma ujumbe huo kupitia jf, unamfikia mlengwa kwa haraka zaidi na kwa urahisi zaidi, hivyo hili ni bandiko, kwa ajili ya kufikisha ujumbe fulani kwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Waziri wa Kilimo, na Waziri wa Mifugo na Uvuvi kuhusu umuhimu wa Chakula kwa binadamu, hivyo siku ya Chakula Dunani, ipewe umuhimu unaostahili.

Kwavile wote tunaamini Mungu, tunaamini tumeumbwa na Mungu, na kupatiwa zawadi ya uhai kwa kupuliziwa pumzi ya uzima,
  1. Hivyo kitu muhimu nambari moja kwa binaadamu ni Mungu, The Almighty God, The Father, The Creator, who created us, and everything.
  2. Kitu muhimu nambari mbili ni hewa, pumzi, uhai, the air that we breathe
  3. Na kitu muhimu nambari tatu ni chakula, the food that we eat, to live, to survive.
Sasa kufuatia umuhimu wa chakula kwa binaadamu, Umoja wa Mataifa umeiteua siku ya October 16, kuwa ni Siku ya Chakula Duniani, "World Food Day", kitaifa maadhimisho hayo kwa Tanzania, yanafanyika kitaifa mkoani Kilimanjaro, na inaadhimishwa kwa maonyesho ya vyakula, na teknolojia mbalimbali za uzalishaji wa chakula katika viwanja vya Pasua, mjini Moshi.

Kutokana na umuhimu wa siku hii, serikali ya Mkoa wa Kilimanjaro, ikaamua kulichagua eneo la Pasua, kuwa ndilo eneo stahiki la kufanyia maandhimisho hayo, na maonyesho hayo, hivyo mimi nami, kama Mtanzania mwingine yoyote, niko Mkoani Kilimanjaro, kuwaletea, kila kinachoendelea kwenye viwanja hivi vya Pasua.
Hapo katika viwanja vya Pasua, pamoja na mambo mengine yote, pia Chanjo ya Corona inatolewa bure.

Sasa imetokea tuu kama zali, maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani mkoani Kilimanjaro, yamepata bahati ya mtende, ku concide ya ziara ya mtu mmoja muhimu, kufanya ziara ya kiserikali mkoani Kilimanjaro. Kwa vile ziara zote za kiserikali ni ofisi ya Mkuu wa Mkoa ndio huratibu kwa kushirikiana na wizara husika, mgeni atembelee wapi na wapi, na kumpangia siku ya kuzungumza na wananchi. Sasa kwa vile ugeni huu ume coincide na Maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani, sasa kufuatia umuhimu wa Chakula kwa binadamu na kwa nchi yetu, hili ni ombi langu kwa serikali ya Mkoa, kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo, na Wizara ya Mifugo, mleteni mgeni huyu viwanja vya Pasua. Tena ningekuwa mimi ndio RC wa Kilimanjaro, ile siku ya mgeni wetu kuzungumza na wana Moshi, ningempangia azungumzie viwanja vya Pasua, ili pia wana Moshi na wana Kilimanjaro, wajitokeze kwa wingi, sio tuu kumsikiliza mgeni wetu akizungumza na wana Moshi na wana Kilimanjaro, bali pia atahamasisha, wana Moshi na Wana Kilimanjaro, kujitokeza kwa wingi, kuchanja.

Hivyo huu ni wito wangu kwa RC wa Kilimanjaro, Waziri wa Kilimo na Waziri wa Mifugo, kufuatia umuhimu wa chakula kwa uhai wa binaadamu na viumbe wote, ambapo baada ya umuhimu wa Mungu aliyetuumba, na pumzi ya uhai tunayoivuta, chakula ndicho kitu muhimu kuliko vitu vingine vyote, hivyo kwa niaba ya wana Pasua, tunawaomba, P'se mpitisheni mgeni wetu na kwenye viwanja vya Pasua, hata asipozungumza chochote, angalau atupungie tuu mkono, na sisi tumpungie kumjulisha tuko pamoja nae.

Ni Hayo Tuu.

Paskali, Pasua, Moshi, Kilimanjaro.
 
elvischirwa

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
10,640
2,000
Wanabodi,
Japo JF ni an open public forum kwa wote, mtu ukiwa na ujumbe wako fulani ambao ni muhimu, unataka kumfikishia mlengwa au walengwa fulani, ukiutuma ujumbe huo kupitia jf, unamfikia mlengwa kwa urahisi zaidi, hivyo hili ni bandiko, kwa ajili ya kufikisha ujumbe fulani kwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Waziri wa Kilimo, na Waziri wa Mifugo na Uvuvi kuhusu umuhimu wa Chakula kwa binadamu.

Kwavile wote tunaamini Mungu, tunaamini tumeumbwa na Mungu, na kupatiwa zawadi ya uhai kwa kupuliziwa pumzi ya uzima,
  1. Hivyo kitu muhimu nambari moja kwa binaadamu ni Mungu, The Almighty God, The Father, The Creator, who created us, and everything.
  2. Kitu muhimu nambari mbili ni hewa, pumzi, uhai, the air that we breath

Paskali, unapendekeza azungumzie viwanja vya Pasua, kwani viwanja hivyo vina tatizo gani ili nasi tujue ambao hatutakuwepo.
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
39,815
2,000
Paskali, unapendekeza azungumzie viwanja vya Pasua, kwani viwanja hivyo vina tatizo gani ili nasi tujue ambao hatutakuwepo.
Mkuu elvischirwa , kwa vile mimi hapa Moshi ni mgeni, ukiwa ugenini, uka note vitu vyenye matatizo, hautangazi matatizo hadharani, tena wengine huwa wananyamaza kujifanya hawaoni, kwa vile ni serikali ya mkoa ndio ilipanga maadhimisho ya Siku ya Chakula, yafanyikie uwanja wa Pasua, na siku ya kilele yaani Tarehe 16 October, Moshi kutakuwa na ugeni, na mgeni atahutubia wananchi, ndio nimeshauri, aletwe na Pasua, wananchi tupo.
P
 
Nimekuelewa, ila Moshi hawataki maviwanja.
 
nguvu

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
12,554
2,000
Sawa mkuu paskali, lakini nikwambie hao jamaa masafari yao yanaligharimu taifa huku faida kiduchu kupatikana, safari ya PM inatumia gharama kubwa halafu anafichua madudu lakini hatua hazichukuliwi, mfano aligundua kibanda cha mlinzi jengo la tanesco kimegharimu fedha za umma kibao na hakuna aliyecgukuliwa hatua. Jana tumetangaziwa ofisi ya VC italigharimu taifa 18+ bilioni, samahani kwa kutoka nje ya mada ila usishangae huyo mgeni kwenda viwanja vya pasua akatumia milioni850
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
39,815
2,000
Inaonekana ratiba imebana sana, muombe Almighy God akutendee muujiza.
Mkuu denooJ , kwanza ni kweli ratiba ya mgeni ime tight sana, ila kama ilivyo kanuni ya mgeni dunia nzima, anayepanga ratiba ya mgeni ni mwenyeji, tusimuingize Mungu kwenye hili, kama mgeni anafika mahali, amekuja kuhudhuria harusi, halafu ikitokea nyumba ya jirani kumetokea msiba, mgeni ataanzia kwa jirani kutoa pole ya msiba, kisha kuendelea na ratiba yake. Hoja yangu hapa, ni lipi ni tukio muhimu zaidi lenye maslahi makubwa na mapana kwa taifa?. Mgeni kaalikwa Moshi kuhudhuria jubilei ya miaka 50 ya KCMC, Jubilei imeangukia tarehe 16 October, ambayo pia ni siku ya Chakula duniani. Siku ya Kimataifa ya Chakula duniani, inasogezwa mbele kupisha Jubilei!. Wana Moshi tuko viwanja vya Pasua, jee kuna ubaya wowote kama mgeni atapitishwa?. No matter how tight the program is, or how busy she is, akapita tuu Pasua na kutupungia mkono nasi tukapunga?.
P
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
39,815
2,000
Sawa mkuu paskali, lakini nikwambie hao jamaa masafari yao yanaligharimu taifa huku faida kiduchu kupatikana, safari ya PM inatumia gharama kubwa samahani kwa kutoka nje ya mada ila usishangae huyo mgeni kwenda viwanja vya pasua akatumia milioni850
Mkuu nguvu , kwenye uendeshaji wa nchi, huwezi kukwepa gharama!, ila pia kuna matukio hayaongezi gharama yoyote, mfano gari lako lina seats 4, ukiliendesha wewe mwenyewe from point A to point B, utatumia mafuta lita kadhaa, ukimpandisha mtu, hadi wanne, bado utatumia mafuta yale yale. Mgeni akiwa Moshi, kumpitisha Pasua, costs not a penny more, not a penny less!.
P
 
Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Sep 10, 2017
10,331
2,000
Pasua ni miongoni mwa miji/vitongoji vya siku nyingi sana kwa hapo Moshi. Kwa asili ni eneo la "Waswahili" ni mchanganyiko wa watu wenye makabila na dini mbalimbali

Hii ni tofauti na vitongoji vingine vya mji huo kwa mfano Kiborloni au Rau nk ambapo utakuta wengi wa wakazi wake ni Wachaga

Pasua kulikua na lami kwenye barabara moja tu tena ilikua ni barabara kubwa ya kuingia kwenye kitongoji hicho na inaurefu wa kama nusu kilometa tu

Sijajua hivyo vinavyoitwa viwanja vya Pasua viko sehemu gani. Je, ni hapo sokoni au kwenye uwanja wa mpira wa Shule ya Pasua ambapo ki jiografia ipo Bomambuzi(kata anayitokea Meya wa Manispaa ya Moshi Bwana Juma Raibu na kabda yake Mbunge Jafar)

Inapendeza sherehe kama hizi na wageni kama hao kuwapeleka maeneo ya watu, hasa wanaokusudiwa tunapozungumzia suala la food security

Wakazi wa Pasua wengi wao ni wakulima na kuna wakati fulani kuanzia miaka ya 1980s ndio walikua wakilima mpunga na mahindi kwa wingi katika mabonde ya Mabogini na New Land na kuilisha Moshi.

Hata ile scheme maarufu ya Lower Moshi Irrigation chini ya Wajapan iliyoleta mapinduzi makubwa sana ya kilimo cha mpunga, wahusika wake wakubwa kwa maana ya wamiliki wa mashamba walikua ni wakazi wa kitongoji hicho cha Pasua

Kwa maana hiyo sherehe za siku ya chakula duniani kama zitafanyika Pasua basi zimefika mahala pake na hao wageni waende tu hapo
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
39,815
2,000
Wanabodi,
Japo JF ni an open public forum kwa wote, mtu ukiwa na ujumbe wako fulani ambao ni muhimu, unataka kumfikishia mlengwa au walengwa fulani, ukiutuma ujumbe huo kupitia jf, unamfikia mlengwa kwa urahisi zaidi, hivyo hili ni bandiko, kwa ajili ya kufikisha ujumbe fulani kwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Waziri wa Kilimo, na Waziri wa Mifugo na Uvuvi kuhusu umuhimu wa Chakula kwa binadamu.

Kwavile wote tunaamini Mungu, tunaamini tumeumbwa na Mungu, na kupatiwa zawadi ya uhai kwa kupuliziwa pumzi ya uzima,
  1. Hivyo kitu muhimu nambari moja kwa binaadamu ni Mungu, The Almighty God, The Father, The Creator, who created us, and everything.
  2. Kitu muhimu nambari mbili ni hewa, pumzi, uhai, the air that we breath
  3. Na kitu muhimu nambari tatu ni chakula, the food that we eat, to live, to survive.
Sasa kufuatia umuhimu wa chakula kwa binaadamu, Umoja wa Mataifa umeiteua siku ya October 16, kuwa ni Siku ya Chakula Duniani, "World Food Day", kitaifa maadhimisho hayo kwa Tanzania, yanafanyika kitaifa mkoani Kilimanjaro, na inaadhimishwa kwa maonyesho ya vyakula, na teknolojia mbalimbali za uzalishaji wa chakula katika viwanja vya Pasua, mjini Moshi.

Kutokana na umuhimu wa siku hii, serikali ya Mkoa wa Kilimanjaro, ikaamua kulichagua eneo la Pasua, kuwa ndilo eneo stahiki la kufanyia maandhimisho hayo, na maonyesho hayo, hivyo mimi nami, kama Mtanzania mwingine yoyote, niko Mkoani Kilimanjaro, kuwaletea, kila kinachoendelea kwenye viwanja hivi vya Pasua.
Hapo katika viwanja vya Pasua, pamoja na mambo mengine yote, pia Chanjo ya Corona inatolewa bure.

Sasa imetokea tuu kama zali, maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani mkoani Kilimanjaro, yamepata bahati ya mtende, ku concide ya ziara ya mtu mmoja muhimu, kufanya ziara ya kiserikali mkoani Kilimanjaro. Kwa vile ziara zote za kiserikali ni ofisi ya Mkuu wa Mkoa ndio huratibu kwa kushirikiana na wizara husika, mgeni atembelee wapi na wapi, na kumpangia siku ya kuzungumza na wananchi. Sasa kwa vile ugeni huu ume coincide na Maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani, sasa kufuatia umuhimu wa Chakula kwa binadamu na kwa nchi yetu, hili ni ombi langu kwa serikali ya Mkoa, kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo, na Wizara ya Mifugo, mleteni mgeni huyu viwanja vya Pasua. Tena ningekuwa mimi ndio RC wa Kilimanjaro, ile siku ya mgeni wetu kuzungumza na wana Moshi, ningempangia azungumzie viwanja vya Pasua, ili pia wana Moshi na wana Kilimanjaro, wajitokeze kwa wingi, sio tuu kumsikiliza mgeni wetu akizungumza na wana Moshi na wana Kilimanjaro, bali pia atahamasisha, wana Moshi na Wana Kilimanjaro, kujitokeza kwa wingi, kuchanja.

Hivyo huu ni wito wangu kwa RC wa Kilimanjaro, Waziri wa Kilimo na Waziri wa Mifugo, kufuatia umuhimu wa chakula kwa uhai wa binaadamu na viumbe wote, ambapo baada ya umuhimu wa Mungu aliyetuumba, na pumzi ya uhai tunayoivuta, chakula ndicho kitu muhimu kuliko vitu vingine vyote, hivyo kwa niaba ya wana Pasua, tunawaomba, P'se mpitisheni mgeni wetu na kwenye viwanja vya Pasua, hata asipozungumza chochote, angalau atupungie tuu mkono, na sisi tumpungie kumjulisha tuko pamoja nae.

Ni Hayo Tuu.

Paskali, Pasua, Moshi, Kilimanjaro.

Leo Saa 7:05 pm on ITV, ujumbe huu

unakwenda hewani kupitia ITV.
P
 
zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
4,366
2,000
Kumbe tuna wataalamu wazuri namna hiyo, sasa kwa nini Kilimo chetu bado hakina tija wakati tuna wataalamu wa utafiti wa mbegu bora?
TOSCI wapo lkn bado watanzania wengi hawajanufaika na utaalamu wao.
TOSCI, TARI n.k
kwa nini kilimo chetu bado kipo duni?!
hao wataalamu wanawafikiaje wakulima wote wa Tanzania?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom