Wito: NEC, Wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi, Polisi na mawakala wa vyama haki ni baba wa amani

wito kwa nec,wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi,polisi,mawakala wa vyama haki ni baba wa amani

  • wito kwa nec,wasimamizi wa uchaguzi,polisi,mawakala wa vyama haki ni baba wa amani

    Votes: 0 0.0%
  • Wito kwa tume ya uchaguzi,wasimamizi wasaidizi,polisi,mawakala haki ni baba wa amani

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    0

amino acid

Senior Member
Feb 9, 2015
100
12
Wana bodi.
Tume ya taifa ya uchaguzi,Wakurugenzi wa miji na halmashauri,polisi mawakala wa vyama na wananchi kwa ujumla tunao wajibu wa kudumisha amani sasa na wakati wa uchaguzi,kupiga kura,kuhesabu kura na kutangaza matokeo.

1.Tunashukuru zoezi la BVR limemalizika kwa amani na sasa kampeni zinaendelea vizuri japo kuna baadhi ya maeneo green guard wanashambulia watu,sehemu ya kupiga kura,kuhesabu na kutangaza matokeo ya haki ni ngazi mhimu sana ktk uchaguzi wowote huru na wa haki kwa mwaka huu maana wananchi wameamuka.
.
2.Kumbux2 za 2010 zinaonyesha kuwa vyanzo vya matatizo wakati wa uchaguzi aidha ni Nec,wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi kuchakachua matokeo,mawakala wa vyama kurubuniwa,wagombea wenyewe au jeshi la polisi kuegemea upande wa chama tawala..
3.Pale wapinzani wanaposhinda matokeo hucheleweshwa kutangazwa kwa makusudi hadi siku tano bila kuwepo na sababu za msingi na wapiga kura kuishiwa na uvumilivu.

4.Chonde chonde wadau wote wa uchaguzi wa mwaka huu tunategemea ushindani mkali uchaguzi ukiwa huru na wa haki.mshindi wa haki atangazwe bila kigugumizi.
Tambueni amani haiwezi kuwepo bila haki kwanza.




 
Nchi haingozwi kwa msingi wa kiongozi wake anajua lugha gani au ngapi? Kwani china kiongozi wake anajua kiingereza?au mataifa mengi umeona yameendelea kwa sababu ya viongozi wake kujua lugha nyingi? Cha muhimu ni kuwa na kiongozi kama Magufuli ambaye atatupeleka katika nchi ya asali na maziwa sio hawa ukawa wNafanya praganda hatuwataki
 
Back
Top Bottom