Wito: Natoa wito maalumu kwa Watanzania wote tuheshimu vyombo vyote vya ulinzi na usalama.

chotera

JF-Expert Member
May 19, 2016
6,305
15,031
Wakuu Nawasalimu.
Napenda kutoa wito maalumu kwa watanzania wote tuipende nchi yetu, tuviheshimu vyombo vyetu vyaulinzi na usalama huu ufa unaotengenezwa na wanasiasa wa kutaka tusiheshimu vyombo vyetu vya usalama wanatupeleka kubaya ,hivi vyombo vikitususia tutaumia sana kama watanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani nyoooosha kwanza maelezo!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ronaldreagan1-2x.jpg

Watulinde tu, binafsi ninaimani nao sana tu, lkn wakiwa wanatoa majibu ya mashaka ya wananchi kwa wakati, mfano watu wasiojulikana wakijulikana itaongeza sana imani.
Kikubwa ni sisi wananchi kuwa wavumilivu wakati wao wanatimiza wajibu wao.
 
Wakuu Nawasalimu.
Napenda kutoa wito maalumu kwa watanzania wote tuipende nchi yetu, tuviheshimu vyombo vyetu vyaulinzi na usalama huu ufa unaotengenezwa na wanasiasa wa kutaka tusiheshimu vyombo vyetu vya usalama wanatupeleka kubaya ,hivi vyombo vikitususia tutaumia sana kama watanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii akili ya kuandika haya umetoa wapi?

Mosi, nipe mfano wa nchi au eneo ambalo vyombo vya ulinzi vilisusa.

Pili, unasema tuipende nchi uko sahihi tunapaswa kuipenda nchi kwa moyo wa dhati kabisa. Hoja ya kudhani au kuhisi watanzania hawaipendi nchi ni kutokana na mwenendo wa hali ya kisiasa na matukio yasio na utu yanayoendelea, hivyo yanatia doa nchi.

Mwisho huo unaodai ufa unaochagizwa na siasa au wanasiasa, unadhan nani wa kulaumiwa?
 
Mimi siwezi kuopenda POLISI hawa ni majambazi namba moja kuwaonea raia wema, polisi wa Tanzania ni afadhari ya jambazi kabisa mwenye siraha maana Yule unajua kipi anakitafuta! Hawa washenzi kodi zetu ndio zinawafanya waende chooni na bado wanatuonea kila kukicha siwezi kuwapenda. 1998 walinipa kesi mbaya nikija bado kijana tena kwa uonevu tu na utoto wangu kutokujua dunia ilivo wakaniweka mahabusu bila kosa, kila uchao wao wanabambikizia watu kesi, Sasa wanatumika vby na magu kuua watu. SIWAZI KUWAPENDA POLISI KAMWE!! Wala rushwa wakubwa..
 
Wakuu Nawasalimu.
Napenda kutoa wito maalumu kwa watanzania wote tuipende nchi yetu, tuviheshimu vyombo vyetu vyaulinzi na usalama huu ufa unaotengenezwa na wanasiasa wa kutaka tusiheshimu vyombo vyetu vya usalama wanatupeleka kubaya ,hivi vyombo vikitususia tutaumia sana kama watanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania police force has chosen stupidity to be there guide wananchi tusiojulikana tufanyaje peleka utumbo wako central tupo busy tunamuombea president lissu kwa sasa.
 
Wakuu Nawasalimu.
Napenda kutoa wito maalumu kwa watanzania wote tuipende nchi yetu, tuviheshimu vyombo vyetu vyaulinzi na usalama huu ufa unaotengenezwa na wanasiasa wa kutaka tusiheshimu vyombo vyetu vya usalama wanatupeleka kubaya ,hivi vyombo vikitususia tutaumia sana kama watanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila kitu kina kikomo ! Wajitahidi watu wasifikie kwenye kikomo...?? #Uvumilivu#Manyanyaso#Upelelezi#Kesi za kupachikwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu Nawasalimu.
Napenda kutoa wito maalumu kwa watanzania wote tuipende nchi yetu, tuviheshimu vyombo vyetu vyaulinzi na usalama huu ufa unaotengenezwa na wanasiasa wa kutaka tusiheshimu vyombo vyetu vya usalama wanatupeleka kubaya ,hivi vyombo vikitususia tutaumia sana kama watanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
Vyombo vya usalama vijiheshimu kwanza na vifuate haki kabla ya kutaka kuheshimiwa.
 
Wakuu Nawasalimu.
Napenda kutoa wito maalumu kwa watanzania wote tuipende nchi yetu, tuviheshimu vyombo vyetu vyaulinzi na usalama huu ufa unaotengenezwa na wanasiasa wa kutaka tusiheshimu vyombo vyetu vya usalama wanatupeleka kubaya ,hivi vyombo vikitususia tutaumia sana kama watanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaongea nini ?, anza kuwaambia hao vyombo vyako vya ulinzi na usalama waanze kutuheshimu sisi halafu ndio watutake nasi tuviheshimu, acha uzwazwa.
 
Back
Top Bottom