Wito: Maandamano ya amani Nchi nzima... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wito: Maandamano ya amani Nchi nzima...

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Tuko, Oct 15, 2010.

 1. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #1
  Oct 15, 2010
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Kama kuna delicate time katika nchi yetu ndiyo sasa. Yanayoanza kujitokeza tusiyafumbie macho. Hakuna ubishi kuwa GREEN GUARD ni intarahamwe mpya inajitikeza Tanzania. Hii inamaanisha kuwa kama wanafanya haya katika kipindi hiki bado wapo madarakani, wakiondolewa, itakuwa balaa.

  Nawaomba CHADEMA waandae maandamano makubwa nchi nzima, kuwashinikiza CCM kuvunja vikundi nya GREEN GUARD mapema...
   
 2. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ni CUF peke yao wanajeuri ya kufanya maandamano Chadema ni watu wa kubwabwaja kwenye forums tu.
   
 3. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  vyovyote mtakavyosema. tunahitaji amani
   
 4. Joel

  Joel JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2010
  Joined: Sep 1, 2007
  Messages: 908
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 80
  kweli kabisa hili jambo ni lazima lliangaliwe kwa umakini mkubwa sana vinginevyo ccm na green guard yao watatupeleka pabaya. Nadhani ni wakati wa vyama vya ushindani kuanza kujipanga kuitisha maandamano au mashinikizo ya aina nyingine yoyote ili green guard ivunjwe.
   
 5. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Nyie mnataka vurugu mjue kuwa mkianzisha vurugu nchi haitakalika na watakao umia ni sisi tusiokuwa na hatia kwa kutumiwa na wanasiasa.
   
 6. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  [Ni CUF peke yao wanajeuri ya kufanya maandamano Chadema ni watu wa kubwabwaja kwenye forums tu.]
  SOKOMOKO!Kweli wewe sokomoko!kama CUF ambayo haikuwa na mbunge hata mmoja (2005-2010) wa kuchaguliwa huku Tanganyika,inaweza kuundaa maandamana,je ni vipi Chadema ishindwe iliyokuwa na wabunge watano(2005-2010) katika mikoa mitano mbalimbali huku Tanganyika ishindwe?Chadema ndiyo chama kikuu cha upinzani huku Tanganyika,haiwezi kushindwa jambo dogo kama hili!
   
 7. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #7
  Oct 15, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,817
  Likes Received: 10,107
  Trophy Points: 280
  usimlaumu, katumwa ana lake jambo huyu, ila afadhali kubwabwaja kwenye forums kuliko kwenye majukwaa na kuwahadaa watu awsio na hatia kule kijijini.
   
 8. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #8
  Oct 15, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama issue ni Green Guard, wewe usijali wale ni waganga njaa tu. Tukiwaondoa madarakani CCM kwa kumpigia kura Dr. Slaa tarehe 31 October, kila kitu kitaparanganyika na green guard itavunjika automatically. Sisi tukaze uzi na kampeni na hakikisha kila siku unapiga simu kwa watu wanne mpak kumi walioko kijijini na kuwapa habari njema za kumchagua Dr. Slaa, halafu siku ya siku tuzilinde kura zetu.
   
 9. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #9
  Oct 15, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,519
  Likes Received: 1,690
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  [​IMG]  [​IMG]
  Kojozi likisubiri amri lianze kujikoloea maji ya kuwasha
   
 10. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #10
  Oct 15, 2010
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Braza, umtoka kuamka? Umeswaki?
   
 11. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #11
  Oct 15, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Niemka kabla yako na huu mji mimi ni mmoja wa wenye mji karibu sana mjini kijana
   
 12. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #12
  Oct 15, 2010
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  acha ukichaa wewe!! kwani hao chadema bin vidole viwili walikuwa na mbunge hata mmoja kule visiwani?? badala ya kuzungumzia kuunganisha nguvu za vyama mnaleta nguvu ya uchaga hapa!
   
 13. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #13
  Oct 15, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  He he hee, tukitangaza maandamano hapa tutazushiwa, eti tumetangaza kumwaga damu. Na ikiwezekana watawatuma polisi watupige ili tukijibu, waseme tunataka kumwaga damu. Wakati ule CUF hawakuzuliwa hilo la kumwaga damu, lakini CHADEMA tayari isharushiwa tope la kumwaga damu inatakiwa ijisafishe kwanza kwa hilo. Ndiyo maana mgombea urais wetu anawaasa wananchi kutojibu mapigo pale Green Guard watakapowashambulia. Tunafuata maagizo ya biblia: ukipigwa kushoto, geuza kulia.
   
 14. Power to the People

  Power to the People JF-Expert Member

  #14
  Oct 15, 2010
  Joined: Jul 11, 2007
  Messages: 1,193
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  kabla ya kufanya maandamano tunahitaji sala, sala tena za uhakika kuliombea taifa hili tusije tukapoteza amani. matatizo ya nchi hii ni makubwa sana na pale watu watakapoanza kuchinjana kwa mapanga ndio utakuwa mwisho wetu.
   
 15. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #15
  Oct 15, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,502
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Du, Sokomoko kawa kweli Sokomoko.............

  Kila thread yupo.

  Pole sana kijana. Vita ya kweli iko Kwa Wananchi na siyo kwenye Mtandao.

  Wengi wa watu humu hata kura hawatapiga........
   
Loading...