WITO: Kwa yeyote anayehusika

Baba V

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
19,482
9,517
Ndugu wana chit chat wote, Nikiwa mwenyekiti wa tume ya kuratibu mahusiano na ndoa hapa chit chat napenda kutoa wito kwa wahusika kama ifuatavyo.
i.Hapo kesho jumatano ya 28/11/012 nahitaji kupata ripoti ya SCREENING ya uhusiano kati ya Madame B na Chimbuvu ili niweze kupitia kwa ajili ya hatua zaidi. Natumai kamati ya Mamndenyi The Boss na Ruhazwe JR mpo na mmeshaiandaa
ii.Kamati ya sheria ya Judgement Ruttashobolwa na Kipipi pia nahitaji taarifa ya uhalali wa kisheria wa uhusiano wa Chimbuvu na Madame B .
iii.Kamati ya maadili chini ya BADILI TABIA naomba muandae tathmini ya nidhamu ya wahusika kwa kuzingatia mwenendo wa uhusiano wao na mwitikio wao pale walipokumbushwa mara kadhaa kuhusu hatua za kufuata ili kuhalalisha uhusiano wao.
iv.Wataalamu wa kitengo cha moving na still pictures babu Asprin na mzee Mtambuzi kaeni standby kwa ajili ya alhamisi nitakapokuwa nimetoa uamuzi juu ya wahusika
v.kamati ya masuto Zinduna cacico snowhite gfsonwin lara 1 ,FP pamoja na dereva wenu Nicas Mtei kaeni mkao wa kazi kwa ajili ya alhamisi.
vi. Bishanga nitonye Mungi , Arushaone , C6 , Filipo na tedo mnaombwa kuwa tayari kufadhili zoezi la siku ya alhamisi.
Pia napenda kuzikumbusha kamati za SCREENING kushughulikia haraka suala la Arushaone na Mamzalendo ,SHERIA kushughulikia haraka suala la Bishanga na The secretary .
Mwisho ninawaomba wana chit chat wote kutoa ushirikiano kwa tume kwa maamuzi yatakayofikiwa kwani yote ni kwa ajili ya kuhakikisha kuwa kila mmoja anafurahia maisha ya hapa chit chat.
Wakatabahu!
Baba V MWENYEKITI WA TUME YA KURATIBU MAHUSIANO NA NDOA CHIT CHAT 2012
 
Last edited by a moderator:
TAARIFA mwenyekiti! Nicas Mtei hayupo tunaomba dereva meingine
YATOKANAYO
kikao kilichopita niliomba kamati yetu tuongezewe mtu,naomba utangaze rasmi uwepo wa watu8 kwenye hii kamati
NAWASILISHA!
 
Last edited by a moderator:
Ndugu wana chit chat wote, Nikiwa mwenyekiti wa tume ya kuratibu mahusiano na ndoa hapa chit chat napenda kutoa wito kwa wahusika kama ifuatavyo.
i.Hapo kesho jumatano ya 28/11/012 nahitaji kupata ripoti ya SCREENING ya uhusiano kati ya Madame B na Chimbuvu ili niweze kupitia kwa ajili ya hatua zaidi. Natumai kamati ya Mamndenyi The Boss na Ruhazwe JR mpo na mmeshaiandaa
ii.Kamati ya sheria ya Judgement Ruttashobolwa na Kipipi pia nahitaji taarifa ya uhalali wa kisheria wa uhusiano wa Chimbuvu na Madame B .
iii.Kamati ya maadili chini ya BADILI TABIA naomba muandae tathmini ya nidhamu ya wahusika kwa kuzingatia mwenendo wa uhusiano wao na mwitikio wao pale walipokumbushwa mara kadhaa kuhusu hatua za kufuata ili kuhalalisha uhusiano wao.
iv.Wataalamu wa kitengo cha moving na still pictures babu Asprin na mzee Mtambuzi kaeni standby kwa ajili ya alhamisi nitakapokuwa nimetoa uamuzi juu ya wahusika
v.kamati ya masuto Zinduna cacico snowhite gfsonwin lara 1 ,FP pamoja na dereva wenu Nicas Mtei kaeni mkao wa kazi kwa ajili ya alhamisi.
vi. Bishanga nitonye Mungi , Arushaone , C6 , Filipo na tedo mnaombwa kuwa tayari kufadhili zoezi la siku ya alhamisi.
Pia napenda kuzikumbusha kamati za SCREENING kushughulikia haraka suala la Arushaone na Mamzalendo ,SHERIA kushughulikia haraka suala la Bishanga na The secretary .
Mwisho ninawaomba wana chit chat wote kutoa ushirikiano kwa tume kwa maamuzi yatakayofikiwa kwani yote ni kwa ajili ya kuhakikisha kuwa kila mmoja anafurahia maisha ya hapa chit chat.
Wakatabahu!
Baba V MWENYEKITI WA TUME YA KURATIBU MAHUSIANO NA NDOA CHIT CHAT 2012

Duo yangu na CUTE siioni hapa... What happened?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom