Wito kwa Wazalendo Wachache Mliopo Usalama wa Taifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wito kwa Wazalendo Wachache Mliopo Usalama wa Taifa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mlalahoi, Aug 30, 2010.

 1. Mlalahoi

  Mlalahoi JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2010
  Joined: Aug 31, 2006
  Messages: 2,065
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ni siri ya wazi kuwa taasisi yenu imekuwa ikifanya kazi za CCM. Hilo lingekuwa sio tatizo laiti kufanya hivyo kungekuwa kwa maslahi ya taifa.

  Tunaamini kuwa kuna wazalendo mliosalia ndani ya taasisi hiyo, na huenda hamridhishwi na namna chombo hicho kinavyoendeshwa kwa maslahi ya mafisadi. Baadhi yenu mnakumbuka mafundisho mliyopewa kuhusu main roles and responsibilities za idara ya usalama wa taifa popote pale duniani.

  Basi tunawasihi mjitoe mhanga kwa kuumbua njama za kuhujumu demokrasia nchini ambapo (kama ilivyozoeleka) Idara yenu hujivua wajibu wa kutumikia taifa na kuwekeza raslimali zake zote kuisaidia CCM kwa njia zisizo halali.

  Mnamfahamu vyema Dokta Slaa, na naamini baadhi yenu mlikuwa mnampatia nyaraka alizotumia kuibua ufisadi katika maeneo mbalimbali. Tunafahamu kuwa hamkuwa mnafanya hivyo kwa ajili ya malipo bali uchungu kwa Taifa lenu na kutimiza wajibu wenu halisi wa KULINDA USALAMA WA TAIFA.

  Tunawasihi msiruhusu taasisi yenu kugeuzwa chombo cha kisiasa au cha maslahi ya mafisadi. Kwa jinsi taasisi hiyo ilivyo disorganized, mnaweza kabisa kuvujisha taarifa zinazolenga kuhujumu uchaguzi in general na kumhujumu Dkt Slaa in person.

  I beg you guys, kuweka maslahi ya taifa mbele.

  It can be done, just play your small part.

  Thank you in advance
   
 2. M

  Msharika JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  kweli inawezekana tekeleza wajibu wako.
   
 3. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #3
  Aug 30, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Wakati huu all agencies like this call the season as "wakati wa kujenga nyumba zao"

  These guys never cares about fate of the country. After all siwalaumu, kama katika serikari ya CCM kila mtu anajichukulia tu apendavyo, nao wana-apply "mbuzi kula kwa urefu wa kamba"

  It is really a good plead!
   
 4. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #4
  Aug 30, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Sad, my country Tanzania is enterily lost..play your part guys, save her!
   
 5. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #5
  Aug 30, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Kazi ipo!
   
 6. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #6
  Aug 30, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Ushirikina uliofanyika bagamoyo makaburini usiku kucha ulikuwa wa kutisha, wakitoa ulinzi kwa mgombea wao.
   
 7. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #7
  Aug 30, 2010
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145
  Unajua mengi kuhusu hili, mwaga upupu UWAWAKIE, tupe uhondo...

  .... ushirikina gani?

  .... nani alihusika?

  .... nani alikuwa anatoa ulinzi?

  Asante...

  -> Mwana wa Haki
   
 8. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #8
  Aug 30, 2010
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  it smells more CHADEMATIC than UZALENDO NA UTAIFA kwa ujumla wake...!
   
 9. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #9
  Aug 30, 2010
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  and after all you call them "FEW" how far do you know that...? kama kwa wingi wao wamefanya utakayo wewe? au kama hawausiki hata kidogo...? TUONGEE KWA FACT ZAIDI....HEADING KALI NDANI PAMEJAA KUMFAGILIA SLAA NA CHADEMA.........KWANI WAZALENDO WAPO CHADEMA NA JF PEKE YAKE....? WAZALENDO WACHACHE HAWAWEZI KUWA MICHUZI BLOG NA CCM KWA MAPANA YAKE?
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  Aug 30, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  truth hurts!!!
   
 11. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #11
  Aug 31, 2010
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  ukweli huu umemuuma sana na mahesabu yake ya darasa la pili
   
 12. sblandes

  sblandes JF-Expert Member

  #12
  Aug 31, 2010
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,465
  Likes Received: 790
  Trophy Points: 280
  Friendly warning-:
  Usalama wa Taifa is complecated enterprise,do not bank on it unless your good enough to outsmart the syndicate.
   
 13. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #13
  Aug 31, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Usijitege kirahisi hivyo mkuu. Vingine acha vipite
   
 14. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #14
  Aug 31, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Amen
   
 15. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #15
  Aug 31, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Duh!
  Ombi la hatari kweli kweli lakini limejaa vina na mizania.
  I wuz thinking the same kuwa lazima kuna mahala kwenye chombo chetu hiki kumetoboka kiasi kwamba usalama umekuwa kwa kuisaidia CCM idumu daima.
  Mie si mwanachama wa CHADEMA wala CUF bali wa CCM lakini sidhani kama chama changu kina credibility ya kushika hatamu nyingine za uongozi maana wao they think KUTAWALA only and not leading the way KUONGOZA.

  Naamini WANAUSALAMA wengi watauma MENO wasomapo thread hii ila sisi WANANCHI tumeleta kilio chetu ambacho hatujui how to reach you guys than this way.
  CHONDE-CHONDE
   
 16. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #16
  Aug 31, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Onyo zuri sana, lakini usisahau UWT ni binadamu. Ni wakwe, watoto na na hata wajukuu zetu. Hawaishi angani. Wanaona hali ilivyo na kuifahamu. Kinachotatiza ni kuwa wamekosa mwelekeo si wao kama watu binafsi bali wao kama taasis. Wanahitaji mwongozo, na wito wa kuweka maslahi ya taifa mbele ndio mwongozo unaoweza kutumika. Hii nchi ikichafuka nao watakuwepo na jamaa na ndugu zao, ni wachache sana wenye diplomatic passport
   
 17. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #17
  Aug 31, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Chadematic ndio Uzalendo kwa Taifa., don't you know that?
   
 18. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #18
  Aug 31, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Aisee Huu uchaguzi na upite tu, maana mtu hata akiongea points kwa maslahi ya Taifa anaonekana anafanya kampeni tu.
  Mweh!!
   
 19. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #19
  Sep 1, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Does not make difference na kicho wanachokiclaim. Hapa kinachoelezwa si utaifa bali uchadema. This is shame thread. Kama unamaanisha uzanlendo basi andika na usiwe bias. Wewe unachotaka ni usalama wataifa ukusaidie kupata ulaji tu nawala huna lolote. Shame upon you again.
   
 20. m

  muafaka Senior Member

  #20
  Sep 21, 2010
  Joined: Oct 30, 2009
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Young man, you are wrong !!, 'Intelligence is not about politics', as far as I know Politics ni sehemu ndogo sana ya kazi za Idara ya Usalama wa Taifa. Tatizo ulilonalo pamoja na wengi wetu ni kuwa everything is about politics. Siku zote tunaishia kulaumu sana na wakati mwingine bila kuwa na ufahamu wa kutosha. Let's bring up constructive ideas tuvisaidie vyombo vyetu vifanye kazi zake vizuri.
   
Loading...