Wito kwa watu wa mkoa wa Mara.

mkabasia

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
2,218
2,000
Habarini za asubuhi wapendwa.Jamani inasikitisha izi habari za vitendo vya kinyanyasaji wanazofanyiwa wanawake wa mkoa wa Mara.Naombeni wanajumuia wote wa mkoa huo mjaribu ata kufanya kongamano la kupinga ivo vitendo popote mlipo.Jana tu nmesikia kwenye taarifa ya hbr uko butiama jinsi mwanamke alivobakwa na kunyongwa shambani kwake.Hili ni la pili au zaidi ndani ya mwezi.
 
Makanyaga

JF-Expert Member
Sep 28, 2007
6,793
2,000
Habarini za asubuhi wapendwa.Jamani inasikitisha izi habari za vitendo vya kinyanyasaji wanazofanyiwa wanawake wa mkoa wa Mara.Naombeni wanajumuia wote wa mkoa huo mjaribu ata kufanya kongamano la kupinga ivo vitendo popote mlipo.Jana tu nmesikia kwenye taarifa ya hbr uko butiama jinsi mwanamke alivobakwa na kunyongwa shambani kwake.Hili ni la pili au zaidi ndani ya mwezi.

Waumini makanisani wanatakiwa wawaombe wachungaji wao ili pia waliweke swala hili kwenye maombi, inumiza sana wanawake wananyongwa kila siku maskini! Mungu awanusuru!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom