Uchaguzi 2020 Wito kwa Watanzania wenzangu tukiwemo sisi WanaJF, Oktoba 28 tujitokeze kwa wingi chagua chama cha ukweli kwa maendeleo ya kweli

Wanabodi

Watu wameisha zoea ukitolewa wito, then wito huo uwe umetolewa na kiongozi fulani, mtu ukiwa nobody, huwezi kutoa wito.

Mimi ni nobody, lakini hapa natoa wito kwa Watanzania wenzangu tukiwemo sisi wana Jf, kwanza hiyo Tarehe 28 October, tujitokeze kwa wingi, twende tukapige kura kuwachagua viongozi tunaowataka, na vyama tunavyo vitataka, ila chonde chonde, tusifanye makosa!, chagua chama cha ukweli chenye uwezo wa kuleta maendeleo ya kweli!.

Kwenye kupiga kura, ukichagua chama ambacho sicho, ambacho sio chama cha ushindi, unakuwa umepoteza kura yako!.
Tukapige kura lakini tusipoteze kura zetu!.

Paskali

Wenye kuelewa tumekuelewa.
 
Hili la matokeo ya mtihani wa taifa kwa Zanzibar, usimzingizie Magufuli na awamu yake ya tano, mwaka 2013 niliwahi kuuliza humu, jee kuna uwezekano watu wa dini fulani ni vilaza zaidi kuliko wa dini fulani?.
Inawezekana Vipi Zanzibar Kuna Div I, Div II, na Div III Chache, Ila Div IV na Div Zero Nyingi?!.
P
Nimekwambia wazanzibari mambo yameanza kwenda kombo kuanzia miaka ya 90 wakati wa mkapa sio kielimu tu hata kiuchumi
Kama ulikuwepo mjini maduka mengi kariakoo yalikua ya wazanzibari lakini mkapa kawamaliza
Kuna mambo mengi nchi hii behind the scenes
 
Hili la matokeo ya mtihani wa taifa kwa Zanzibar, usimzingizie Magufuli na awamu yake ya tano, mwaka 2013 niliwahi kuuliza humu, jee kuna uwezekano watu wa dini fulani ni vilaza zaidi kuliko wa dini fulani?.
Inawezekana Vipi Zanzibar Kuna Div I, Div II, na Div III Chache, Ila Div IV na Div Zero Nyingi?!.
P
Kuna mambo mengine usitumie akili Sana
Kulikoni awamu hii shule za kiislamu zina''CHONWA'' moto kila kukicha halafu hakuna utafiti wala uchunguzi??
Hakuna mjengo Tanzania nzima yanapata majanga ya moto kuliko shule za kiislamu kulikoniii???
 
Kwenye kupiga kura, ukichagua chama ambacho sicho, ambacho sio chama cha ushindi, unakuwa umepoteza kura yako!.
Tukapige kura lakini tusipoteze kura zetu!.

Paskali
Hakuna kura inayopotea, kila kura inatuma ujumbe.
Ngoja nikufafanulie. Mtu aliyeshinda kwa asilimia 90 na yule aliyeshinda kwa asilimia 51 wote wameshinda; lakini huyo wa asilimia 51 lazima ajiulize sana kwa nini asilimia 49 hawakumpigia? Kama ni mtu makini atafanya utafiti na kuondoa changamoto ili uchaguzi unaofuata asilimia za ushindi ziongezeke - yaani wanaomkubali waongezeke.
Kura ambazo hazikumpigia mshindi hazikupotea bali zimemtumia ujumbe mhusika kuwa mahali fulani kuna jambo haliko sawa
 
Wanabodi

Watu wameisha zoea ukitolewa wito, then wito huo uwe umetolewa na kiongozi fulani, mtu ukiwa nobody, huwezi kutoa wito.

Mimi ni nobody, lakini hapa natoa wito kwa Watanzania wenzangu tukiwemo sisi wana Jf, kwanza hiyo Tarehe 28 October, tujitokeze kwa wingi, twende tukapige kura kuwachagua viongozi tunaowataka, na vyama tunavyo vitataka, ila chonde chonde, tusifanye makosa!, chagua chama cha ukweli chenye uwezo wa kuleta maendeleo ya kweli!.

Kwenye kupiga kura, ukichagua chama ambacho sicho, ambacho sio chama cha ushindi, unakuwa umepoteza kura yako!.
Tukapige kura lakini tusipoteze kura zetu!.

Paskali

Dkt Paschal wewe ni mwanahabari. Je wana habari mnataka uhuru wa habari? Asante
 
Wanabodi

Watu wameisha zoea ukitolewa wito, then wito huo uwe umetolewa na kiongozi fulani, mtu ukiwa nobody, huwezi kutoa wito.

Mimi ni nobody, lakini hapa natoa wito kwa Watanzania wenzangu tukiwemo sisi wana Jf, kwanza hiyo Tarehe 28 October, tujitokeze kwa wingi, twende tukapige kura kuwachagua viongozi tunaowataka, na vyama tunavyo vitataka, ila chonde chonde, tusifanye makosa!, chagua chama cha ukweli chenye uwezo wa kuleta maendeleo ya kweli!.

Kwenye kupiga kura, ukichagua chama ambacho sicho, ambacho sio chama cha ushindi, unakuwa umepoteza kura yako!.
Tukapige kura lakini tusipoteze kura zetu!.

Paskali

Paskali, Chama cha ushindi ni kipi?
 
Paskali uwe unaeleweka vizuri, je una maanisha​

....Tujitokeze Kwa Wingi Chagua Chama cha Ukweli Kwa Maendeleo ya Kweli? au unawasemea wale kule?​

With 7 Days to go, kwa Watanzania kuamua, sina jipya la kusema, bali nafanya tuu tathmini, nilisema nini huko nyuma kama hiki nilichokisema hapa, nalinganisha na nini kimefanyika mpaka hapa tulipo sasa, hivyo ku determine, nini kitatokea baada ya tarehe 28 October, kuna watu wanadhani uchaguzi ni kama sadakalawe au mchezo wa kubahatisha wa kolo kolo! kwa anaepata apate, anayekosa akose!, sisi baadhi yenu tuliojaaliwa kupata bahati ya kuwa informed, tutawatendea Watanzania dhambi kubwa kama hatuta wasaidia kufanya informed decisions!.
Wito wangu, ni kuwaomba Watanzania tusifanye makosa ya kupiga kura za majaribio au kura za huruma, tarehe 28, tutachugue viongozi wa ukweli na chama cha ukweli, ambacho kwa Tanzania yetu, it's very unfortunately ni kimoja tuu!, the one and only...

Paskali
Kweli kaka tusifanye Tena makosa tulioyafanya miaka mitano iliopita na kujukuta tukitawaliwa ki dikteta na kunyinwa uhuru hata wa kutoa mawazo
Kweli kaka tusifanye makosa tulioyafanya miaka mitano iliopita mpaka tunazoea mauaji yanayofaanywa na wasiojulikana
Kweli kaka tusifanye makosa tuliofanya miaka mitano hadi inafikia watu wanafilisiwa hivi
Kweli kaka tusifanye makosa ya kumchagua mtu katili anaekula hela za rambirambi za wahanga wa tetemeko la ardhi halafu badala hata pole anakuja kutuaibisha na kutudhalilisha kwa maneno ya dhihaka
Kweli kaka tusifanye makosa kuchagua mtu anaechukua korosho zetu kupitia jeshi lenye silaha za kivita
Kweli kaka tusifanye makosa kumchagua
Mtu atakaekua mbinafsi wa kujenga kiwanja cha ndege cha kimataifa kijijini wakati wananchi hapo kijijini hawana maji
Kweli kaka tusifanye makosa kumchagua mtu afungae na kutesa viongozi wa kidini eti ni magaidi
Kweli kaka tusikubali kuchagua mtu atakae mpa funguo za hazina mtoto wa dadake
Kweli kaka tusikubali kumchagua mtu atakae toa kandarasi zote kwa mume mwenza bila kutangaza zabuni
Kweli kaka tusifanye makosa kuchagua mtu anaeteua zaidi ya theluthi moja ya watendaji wa serikali kutoka kabila lake
Kweli kaka tusifanye makosa,,,,,,,,,,
Mambo mengi yametukuta miaka mitano hii
Tusifanye kosa
Piga kura ya ukombozi Linda kura
Takbirr
Allah Akbar
 
Tusidanganyike !Maendeleo ni Mchakato, yapo mengi aliyofanya Rais wetu na Tunajivunia kua na Rais Mazalendo na Mchapakazi kama Dr.Magufuli ..Tunaendelea Nae...!KURA KWA MAGUFULI
#ChaguaMagufuli

Ili aendelee kuwatesa mashekh wetu???
Wanafiki pekee watamchagua katili asie na huruma
 
Back
Top Bottom