mtoto wa maskini
JF-Expert Member
- Jun 28, 2013
- 1,152
- 636
Dah mtu mweusi kwa kweli atabaki kuwa mtu mweusi tu hata matendo yake, itakuja baba atabaka mtoto afy kisa ni baba mtaona sawa tu kisa ni baba , RAISI akikosea aelezwe direct kakosea tena bila kupindisha hiyo ndiyo demokrasia sio kuleta upuuzi eti tutumie njia gani sijui ya kusema kakosea huo utakuwa unafiki, pia Viongozi wakiafrika wakipata madaraka wanajifanya kama vile half god yani jeuri, kibuli, dharau, roho mbaya vinajaa kichwani, wengine hawamchukii RAISI lakini hawapendezwi na baadhi ya kauli zake na maamuzi yake na mwisho hakuna mtu asiyekosolewa kiongozi anayekosolewa afu anapandisha hasira na jazba na kuanza kukamata watu hakika uyo hapaswi kua kiongozi hata wa kijiji maana kiongozi lazima uwe mvumilivu mwenye busara na hekima