Wito Kwa wana JamiiForums kuhusu ukosoaji wa Rais Magufuli

Leo ndo umeona heshima,zamani matusi ambayo alikuwa anaporomoshewa mtangulizi wake ulisema chochote? Acha double standard!
Humu JF, wageni wengi, kila siku wanajiunga watu wapya humu, wala hawajui nani ni nani humu na anasimamia nini. Kwenye hoja ya heshima kwa viongozi wetu, karibu mitaa hii Wito Kwa wana JamiiForums kuhusu ukosoaji wa Rais Magufuli
Wanabodi,

Rais nae ni binadamu na sio malaika, hivyo, kama binadamu ni haki yake kukosea, kwasababu no one is perfect, the only perfect being is God!, hivyo raisi kama Rai's kuna mahali anakosea au amefanya ndivyo sivyo, tupaseme sio kwa kubeza au kukejeli, bali kufanyike kwa heshima, kwa lugha ya staha na unyenyekevu kwa lengo la kumuonyesha makosa yake, kisha tuweke na ushauri wa the right thing to do, hivyo ukosoaji kwa rais, ufanyike constructively kwa nia njema ya kujenga na sio kubomoa, yaani tufanye "a constructive criticism" in good faith kwaa nia ya kumsaidia rais wetu kuwa rais bora zaidi na kulisaidia taifa kusonga mbele na sio kurudi nyuma
Rais wa nchi ndio kioo cha taifa, ni kama baba wa familia, anahitaji kuheshimiwa.
P
 
Back
Top Bottom