Wito kwa Vyombo vya dola vimchulie hatua James Mbatia kwa kumkashfu Rais Samia na kuchochea Uasi Nchini

√Soma hapo chini alichokisema

Kwamba

Rais Samia Suluhu kwa Sasa Hawazii Matatizo Ya Watanzania bali anawazia Uchaguzi Tu.

Kwamba

Ndani Ya Miezi 6 Wana Uhakika wa Kupata Tume Huru Ya Uchaguzi Bila Kuomba omba kwa CCM

Kwamba

Ifikapo 2025 CCM Itaondoka Madarakani Watake Wasitake

Kauli zote hizo tatu Ni tata zilizojaa kashfa na uchochezi

Nashauri Vyombo vya dola vichukue hatua stahiki mara moja

Tunasimama na Mama Samia
Tutamtetea Mama Samia
Tutamlinda Mama Samia

KaziIendelee.
uhuru wa kutoa maoni na hayo ni maoni yake tu si maoni ya wote so sioni kosa hapo.
 
Simama na Mungu acha ujinga wa kusimama na mwanadamu. Biblia inasema amelaaniwa mtu yule anayemtegemea mwanadamu. Halafu mbona yule mbunge aliyesema Magufuli atake asitake tutamuongezea muda.
√Soma hapo chini alichokisema

Kwamba

Rais Samia Suluhu kwa Sasa Hawazii Matatizo Ya Watanzania bali anawazia Uchaguzi Tu.

Kwamba

Ndani Ya Miezi 6 Wana Uhakika wa Kupata Tume Huru Ya Uchaguzi Bila Kuomba omba kwa CCM

Kwamba

Ifikapo 2025 CCM Itaondoka Madarakani Watake Wasitake

Kauli zote hizo tatu Ni tata zilizojaa kashfa na uchochezi

Nashauri Vyombo vya dola vichukue hatua stahiki mara moja

Tunasimama na Mama Samia
Tutamtetea Mama Samia
Tutamlinda Mama Samia

KaziIendelee.
 
√Soma hapo chini alichokisema

Kwamba

Rais Samia Suluhu kwa Sasa Hawazii Matatizo Ya Watanzania bali anawazia Uchaguzi Tu.

Kwamba

Ndani Ya Miezi 6 Wana Uhakika wa Kupata Tume Huru Ya Uchaguzi Bila Kuomba omba kwa CCM

Kwamba

Ifikapo 2025 CCM Itaondoka Madarakani Watake Wasitake

Kauli zote hizo tatu Ni tata zilizojaa kashfa na uchochezi

Nashauri Vyombo vya dola vichukue hatua stahiki mara moja

Tunasimama na Mama Samia
Tutamtetea Mama Samia
Tutamlinda Mama Samia

KaziIendelee.
Koroboi.
 
Mbatia yuko sahihi kabisa.

Ni ukweli usiopingika kuwa CCM haifai kabisa kuendelea kutawala nchi hii.........lakini sasa..

Pia ni ukweli usiopingika kuwa bado hatuna mpinzani imara anayeweza kusisima na kuliongoza taifa hili. Hakuna.

Wacheni tu tuendelee na hili li CCM mpaka hapo kitakapozaliwa chama imara cha upinzani, labda miaka 100 ijayo.
 
√Soma hapo chini alichokisema

Kwamba

Rais Samia Suluhu kwa Sasa Hawazii Matatizo Ya Watanzania bali anawazia Uchaguzi Tu.

Kwamba

Ndani Ya Miezi 6 Wana Uhakika wa Kupata Tume Huru Ya Uchaguzi Bila Kuomba omba kwa CCM

Kwamba

Ifikapo 2025 CCM Itaondoka Madarakani Watake Wasitake

Kauli zote hizo tatu Ni tata zilizojaa kashfa na uchochezi

Nashauri Vyombo vya dola vichukue hatua stahiki mara moja

Tunasimama na Mama Samia
Tutamtetea Mama Samia
Tutamlinda Mama Samia

KaziIendelee.
Wewe ni mpimbavu kama walivo wapumbavu wenzako. Unataka kila kinachosemwa na watu lazima kikupendeze wewe??? Mgombea alipokuwa kwenye kampeno akasema hata kama wapiga kura wasipochagua chama flani lazima kitaunda serikali hapakiwepo watu wenue akili??? Idiot
 
√Soma hapo chini alichokisema

Kwamba

Rais Samia Suluhu kwa Sasa Hawazii Matatizo Ya Watanzania bali anawazia Uchaguzi Tu.

Kwamba

Ndani Ya Miezi 6 Wana Uhakika wa Kupata Tume Huru Ya Uchaguzi Bila Kuomba omba kwa CCM

Kwamba

Ifikapo 2025 CCM Itaondoka Madarakani Watake Wasitake

Kauli zote hizo tatu Ni tata zilizojaa kashfa na uchochezi

Nashauri Vyombo vya dola vichukue hatua stahiki mara moja

Tunasimama na Mama Samia
Tutamtetea Mama Samia
Tutamlinda Mama Samia

KaziIendelee.
Huo ndio ukweli aliousema James
 
Kwakuwa chichiemu walishashindwa siasa za hoja, na badala yake wapo kwenye siasa za dola, SII jambo la kushangaa nae kesho tukasikia ni gaidi na mhujumuh uchumi🏋️.
Ni kweli hatutashangaa sana, maana sisiemu hawawezi kujibu hoja za wananchi, wanatumia polisi na wasiojulikana.
 
√Soma hapo chini alichokisema

Kwamba

Rais Samia Suluhu kwa Sasa Hawazii Matatizo Ya Watanzania bali anawazia Uchaguzi Tu.

Kwamba

Ndani Ya Miezi 6 Wana Uhakika wa Kupata Tume Huru Ya Uchaguzi Bila Kuomba omba kwa CCM

Kwamba

Ifikapo 2025 CCM Itaondoka Madarakani Watake Wasitake

Kauli zote hizo tatu Ni tata zilizojaa kashfa na uchochezi

Nashauri Vyombo vya dola vichukue hatua stahiki mara moja

Tunasimama na Mama Samia
Tutamtetea Mama Samia
Tutamlinda Mama Samia

KaziIendelee.
Achukuliwe hatua kwa kauli hizi za kisiasa.....!!?
una akili sawa sawa kweli ww
 
Back
Top Bottom